Morogoro: Gari la Serikali limegonga na kuua mwanafunzi

Ajaliwe kupumzika kwa amani.
Pole nyingi sana wa ndugu na wazazi, kilio kinacho sikika hapo uchungu wake hauna kipimo kwa wakati huu.
Tunaweza kuongea yote na kuongea lolote wakati huu ila maisha ya mwanadamu tamatiko lake halipo mbali, tuulinde uhai kwa kujali, haraka ya kuwahi haijawahi kuwa na matokeo mazuri ya moja kwa moja, heri kuchelewa ufike salama bila lawama kukiko kuwahi usifike salama au ukawa mwenye kulaumiwa.

Huyo kiongozi dhamiri imuhukumu.
 
Hoja ya msingi sana mkuu 😔
 
Mwili wa mwanafunzi Yulia Samson Difrata, mwanafunzi wa kidato cha kwanza katika Shule ya Sekondari Chigela, umeondolewa eneo la ajali, katika Kijiji cha Tabu Hotel, Kitongoji cha Stendi, wilayani Gairo, mkoani Morogoro ambapo inadaiwa mwanafunzi huyo amegongwa na gari la serikali ambalo halikusimama baada ya kumgonga.

Adui wa Mwafrika ni mwafrika mwenyewe! Mungu tusaidie sana! Poleni kwa familia ya Yulia Samson Difrata. Mpaka natetemeka sijui hawa watu wana roho gani tu?
Siku zilikuwa zimefika....alisikika kiongozi Fulani 😢😢😢
 
Mwili wa mwanafunzi Yulia Samson Difrata, mwanafunzi wa kidato cha kwanza katika Shule ya Sekondari Chigela, umeondolewa eneo la ajali, katika Kijiji cha Tabu Hotel, Kitongoji cha Stendi, wilayani Gairo, mkoani Morogoro ambapo inadaiwa mwanafunzi huyo amegongwa na gari la serikali ambalo halikusimama baada ya kumgonga.

Adui wa Mwafrika ni mwafrika mwenyewe! Mungu tusaidie sana! Poleni kwa familia ya Yulia Samson Difrata. Mpaka natetemeka sijui hawa watu wana roho gani tu?
Madereva wa Serikali TZ vipi una maelezo gani hapa? Nimejizuia kusema chochote lakini....
 
Huyo dereva hakuna alichokwepa maana hiki alichofanya hawezi kubaki salama najua wazee WA kijiji hawatamwacha salama..hili ni deni ambalo atalipa yeye na kizazi chake, tumeshuhidia watu wengi waliomwaga damu kama huyu wakilipia Kwa njia hiyohiyo ya damu
 
Kisheria inaruhusiwa kwa dereva kukimbia endapo eneo la tukio la ajali sio salama kwake. Ila inamtaka aripoti kituo cha polisi ndani ya saa 24 tokea ajali ilipotokea.
 
Ngoja tusubirie 24 hours 😔
 
Mwili wa mwanafunzi Yulia Samson Difrata, mwanafunzi wa kidato cha kwanza katika Shule ya Sekondari Chigela, umeondolewa eneo la ajali, katika Kijiji cha Tabu Hotel, Kitongoji cha Stendi, wilayani Gairo, mkoani Morogoro ambapo inadaiwa mwanafunzi huyo amegongwa na gari la serikali ambalo halikusimama baada ya kumgonga.

Adui wa Mwafrika ni mwafrika mwenyewe! Mungu tusaidie sana! Poleni kwa familia ya Yulia Samson Difrata. Mpaka natetemeka sijui hawa watu wana roho gani tu?
Kwani unaposema roho mbaya unataka kutuaminisha kwamba dereva kamuua kwa kutumia Shoka au panga?? Jamani acheni kujenga chuki, ajali hakuna anayeiandaa au kudhamiria, wala kuifurahia, ishu NI kufuatilia muhisika ili haki itendeke na sio kuanza kuichafua serikali kwa jambo linalomuhusu dereva mmoja, tuache siasa kwenye matukio Haya ya kuhuzunisha, na msilete mauchadema yenu hapo!!
 
Kwani unaposema roho mbaya unataka kutuaminisha kwamba dereva kamuua kwa kutumia Shoka au panga?? Jamani acheni kujenga chuki, ajali hakuna anayeiandaa au kudhamiria, wala kuifurahiq, ishu NI kufuatilia muhisika ili haki itendeke na sio kuanza kuichafua serikali kwa jambo linalomuhusu dereva mmoja, tuache sasa kwenye matukio Haya ya kuhuzunisha, na msilete mauchadema yenu hapo!!
Kuonesha kuwa gari la serikali limegonga mtu ni uchadema!? Ni sehemu gani nimeona chuki ya kisiasa mkuu!? Umetazama video hiyo, je kuna mtu ametaja Chadema au CCM!??
 
Back
Top Bottom