Supapawa
JF-Expert Member
- Aug 29, 2026
- 1,076
- 2,690
Kwa hiyo BICHWA KOMWE - hatutamwona tena humu kwa sababu atakuwa anatumikia mvua kadhaa?! 😲
Seran yu bera woch yuwa bak.
Seran yu bera woch yuwa bak.
Wazimu Umempanda Chini Mpaka Akachukua PangaNyege mbaya sana, duuh.
Mimi siwezi kukuua papi🥲Kwa hiyo BICHWA KOMWE - hatutamwona tena humu kwa sababu atakuwa anatumikia mvua kadhaa?! 😲
Seran yu bera woch yuwa bak.
Angeipeleka hata kuiuza huko ikapigwa mpaka akachoka au anunue DILDO yake ya umeme then akae kwa kutuliaNyege mbaya sana, duuh.
Du......dumia imebadilika.Mwanaume aliyefahamika kwa jina la Abel Charles, Mkazi wa Mtaa wa Mambi, Kata ya Mafisa, Manispaa ya Morogoro amefariki dunia baada ya kudaiwa kushambuliwa kwa panga na Mke wake wakati wakiwa nyumbani usiku.
AyoTV imefika katika eneo la tukio na kuzungumza na Mjumbe wa Mtaa huo ambaye amesema alipokea taarifa kutoka kwa Mpangaji katika nyumba hiyo kwamba wakati wa usiku vilisikika vishindo vikubwa kutoka katika chumba walichokuwa wakiishi wawili hao.
Kwa mujibu wa Mjumbe huyo, asubuhi Mwanamke anayedaiwa kuhusika na tukio hilo alionekana akiwa na majeraha mdomoni na alipoulizwa Mume wake alipo, inadaiwa alieleza kuwa alikuwa kazini na kwamba hakuwa na funguo za chumba alichokuwa akilala kutokana na wawili hao kuwa na ugomvi na kulala vyumba tofauti.
Kufuatia tukio hilo, Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limetangaza kumkamata Jovita Bateguye Budyo (30), fundi cherehani na Mkazi wa Mafisa, kwa tuhuma za kumuua Mumewe, Abeli Charles (44), Mfanyabiashara na mkazi wa Mafisa.
Angeenda kukamata mwanaume yoyote barabarani.
aliyekuwa ana nyege hadi kusababisha mapigano, ghasia na taharuki ni mwanaume au mwanamke ?
tena zile za ovulation au after period alf unyiwe weeeh😀😀Nyege mbaya sana, duuh.
Wazimu Umempanda Chini Mpaka Akachukua Panga
Angeipeleka hata kuiuza huko ikapigwa mpaka akachoka au anunue DILDO yake ya umeme then akae kwa kutulia
Kakosea Kumuua Inavyoonekana Jamaa Alikuwa Anampatia SanaMlongo acha kabisaa, nyege mbayaa mnoo. 😂😂😂
Nakupenda kwelikweli.Mimi siwezi kukuua papi🥲
Hii ni maajabuMwanamke. 😂😂😂😂
Huyu mtoa mada amekosea mwenye nyege alikuwa ni mwanaumealiyekuwa ana nyege hadi kusababisha mapigano, ghasia na taharuki ni mwanaume au mwanamke ?