Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Leo Novemba 27,2024 huko Mikumi karani wa Uchaguzi amekamatwa live akiwa na karatasi feki za kura ambazo zote zinaonesha kuwa CCM imeshinda Uchaguzi.
Kiongozi wa CHADEMA alionekana kukamata karatasi hizo kutoka kwa karani ambaye anaonekana ni mama wa makamo ambaye muda wote alikuwa kimya baada ya kugundulika anacheza mchezo mchafu kusaidia viongozi wa CCM.
Kwa wale mnaoona CCM wanaonewa pale wanapoambiwa wanaiba kura, this is the proof.

hii ni aibu kubwa! Tunapaswa kukomesha udanganyifu huu kwenye uchaguzi ujao