LGE2024 Morogoro: Kiongozi wa CHADEMA amkamata live bila chenga karani wa Uchaguzi Mikumi akiwa na kura feki takriban 20

LGE2024 Morogoro: Kiongozi wa CHADEMA amkamata live bila chenga karani wa Uchaguzi Mikumi akiwa na kura feki takriban 20

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Leo Novemba 27,2024 huko Mikumi karani wa Uchaguzi amekamatwa live akiwa na karatasi feki za kura ambazo zote zinaonesha kuwa CCM imeshinda Uchaguzi.

Kiongozi wa CHADEMA alionekana kukamata karatasi hizo kutoka kwa karani ambaye anaonekana ni mama wa makamo ambaye muda wote alikuwa kimya baada ya kugundulika anacheza mchezo mchafu kusaidia viongozi wa CCM.

Kwa wale mnaoona CCM wanaonewa pale wanapoambiwa wanaiba kura, this is the proof.

 
:PainChamp:hii ni aibu kubwa! Tunapaswa kukomesha udanganyifu huu kwenye uchaguzi ujao
 
Back
Top Bottom