DOKEZO Morogoro: Kuharibika kwa daraja la miti la milioni 31

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Hizo kingo huko pembeni sasa πŸ˜† hazifai hata kuchomea ndafu
 
Mbona haya madaraja yako tofauti na mazingira ya madaraja haya ni tofauti?
 
Wahusika wanalifanyia kazi..poleni kwa usumbufu uliojitokeza.
 
Nadhani watajenga mabey bridge ndio suluhisho la hapo maana daraja la Moto lilikuwa la mda kuwezesha mawasiliano ya haraka Ila hapo kunahitajika zaidi ya bil.3
 
Milion 31 imepelekwa na maji.....

Tanzania haijapoa kwa matukio ya kipuuzi namna hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…