MOROGORO kuna nini, mbona Wahindi karibu wote wamefunga maduka kwa wiki mbili sasa?

MOROGORO kuna nini, mbona Wahindi karibu wote wamefunga maduka kwa wiki mbili sasa?

polokwane

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2018
Posts
4,158
Reaction score
7,667
Kuna nini Morogoro? Mbona maduka ya Wahindi karibu yote yamefungwa? Tatizo nini? wiki ya pili sasa maduka mengi ya Wahindi yamefungwa, kuna nini Morogoro?

Je, ni TRA au tatizo ni nini?
 
Kwani mabasi ya Aboud si bado yapo? Sasa unataka wahindi gani mkuu

Nenda ofisi kaulize mabasi mangapi kwa siku yanasafiri kwa mwaka huu na pia compare na zamani yalikuwa yanasafiri mangapi
 
Kuna nini Morogoro? Mbona maduka ya Wahindi karibu yote yamefungwa? Tatizo nini? wiki ya pili sasa maduka mengi ya Wahindi yamefungwa, kuna nini Morogoro?

Je, ni TRA au tatizo ni nini?
Huu sasa ni utegemezi sasa, inamaana ni wahindi tu hapo mjini Morogoro ndiyo wanauza kila mahitaji, wazawa nyie mmelala tu hamuwezi hata kufungua biashara mpaka wahindi wanawapita,
 
... ngozi nyeupe wanazingatia kanuni za afya sio kama sisi makapuku "hatuchuji"; kila tunaloambiwa hata na mwendawazimu tunameza kama lilivyo bila hata kujiongeza.
 
Kunani palee eeeeh mbona kila kona vilio kuna paleee 19 au 19 moro kuna pale eee mbona mambo yanasikitisha moro 19 kuna paleee eeee familia moja imepata msiba mfululizo Mungu atulinde.
 
Mbona hamueleweki? Embu nyoosheni maelezo mnataka kusema nini, na siyo hivyo mfanyavyo
 
Ni wale wabunge 19 feki wapo na wanaua chukua taadhari
 
Back
Top Bottom