JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Issue ilivyokua ni hao walipewa kazi ya kuandaa hivyo vitu. Hawakulipwa, ndio wakaamua kuondoka navyo. Wala hawakuibaKimsingi bendera ya taifa na picha ya rais havipo mikoani siku nyingi na ukuliuliza unaambiwa makao makuu hawajaleta kwenye mabohari ya serikali.
Kumbe walishika kama dhamana?Hao vibaka wawalipe!Issue ilivyokua ni hao walipewa kazi ya kuandaa hivyo vitu. Hawakulipwa, ndio wakaamua kuondoka navyo. Wala hawakuiba
Baadhi ya viongozi wa serikali wanapenda sana kuwafanyisha kazi watu bila posho wala malipo wakati wenyewe wamejilipa maelfu ya fedha bila jasho!Issue ilivyokua ni hao walipewa kazi ya kuandaa hivyo vitu. Hawakulipwa, ndio wakaamua kuondoka navyo. Wala hawakuiba