Unataka usafirishe mchele ambao hujui hata bei yake ?
Anyway, wish u all the best, ila kibongo bongo, vitu kama mchele usiagize, make sure anaekuagizia unamuamin sanaaa, unaweza lipa grade A wakakuletea grade D- au ukaagiza kg 100 ukaletewa kg 95 ππ utapeli mwingi sana ukiagiza kwa simu