Zikuh de Hammer
New Member
- Feb 12, 2024
- 2
- 0
Wanangu wa Morogoro hivi kg 100 ya mchele imefika bei gani?, nataka nisafirishe mchele kutoka Moro to Dom
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilitaka kujua bei tu....ila kwenye issue ya kusafirisha lazima niufate na niuone kwanzaUnataka usafirishe mchele ambao hujui hata bei yake ?
Anyway, wish u all the best, ila kibongo bongo, vitu kama mchele usiagize, make sure anaekuagizia unamuamin sanaaa, unaweza lipa grade A wakakuletea grade D- au ukaagiza kg 100 ukaletewa kg 95 😂😂 utapeli mwingi sana ukiagiza kwa simu