JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Eneo walilogombea sio la kujenga, ni barabarani tu kwaajili ya kuweka jiko la kuchomea mihogo na mahindiSerikali ifanye uchunguzi Bong'ola ni sehemu iliyopimwa na viwanja ni expensive sana. Kwanini wagombee eneo hadi mauajii?
Njaa za viongozii naongezea Kenge kabisa.Urasimu wa viongozi at its best. Eti wakali wakijiandaa kushughulikia jambo Hilo, nyoko kabisa
Hao viongozi nao wakamatwe waunganishwe na huyo mzee kwenye kesi ya mauaji
Wanaangalia hela ..ukitoa kibunda basi jina la ndugu yako linapitishwaHao wanaotoa watu jela kwa msamaha huwa hawaangalii tabia ya mtu?
Kifo kingezuilika endapo ofisi ya mtaa wamgetoa barua marehemu aende kuripoti tishio polisiJeshi la Polisi Mkoani Morogoro linamshikilia mmoja wa wafungwa ambao waliachiwa huru kwa msamaha wa Rais mnamo Mei Mosi, 2022, Nestory Elias (62) kwa tuhuma za mauaji.
Elias anadaiwa kumuua Mwajuma Sadru (75), Mkazi wa Mtaa wa Bong'ola kutokana na mgogoro wa kugombania eneo la biashara ambalo mtuhumiwa alikuwa akilitumia kwa ajili ya biashara ya kuchoma mihogo.
Marehemu alimtaka Elias aondoke eneo hilo, mtuhumiwa akamtishia kumuua Mwajuma ambaye alienda kutoa taarifa Serikali za Mtaa, wakati viongozi wakijiandaa kushughulikia tukio hilo ndipo Elias akafanya mauaji hayo.
Chanzo: Azam TV
Wangekua na hicho kibunda cha kutoa ndugu Yao angekuwa anachoma mihogo barabarani?Wanaangalia hela ..ukitoa kibunda basi jina la ndugu yako linapitishwa
Nikisema kibunda unazani ni milioni auWangekua na hicho kibunda cha kutoa ndugu Yao angekuwa anachoma mihogo barabarani?
Tangu nione sijazaliwaJeshi la Polisi Mkoani Morogoro linamshikilia mmoja wa wafungwa ambao waliachiwa huru kwa msamaha wa Rais mnamo Mei Mosi, 2022, Nestory Elias (62) kwa tuhuma za mauaji.