Kama magari ni mengi ya kwenda mwanza na huna tiketi mpiga debe yuko sahihi anakuwa amekupeleka kwenye hilo gari A sababu pengine bila yeye ungeweza kwenda gari B na kumbuka sio abiria wote wanaufahamu wa magari ya huko anakoenda.Shangaa wewe, eti mtu umetoka zako nyumban unaenda kupanda gari ya kwenda mwanza afu kuna mtu anatokea hapo katikati anaseema amekuleta!
Duh! Huyu atakua muuaji sku nyingiAmemchoma visu na kuupekecha moyo kwa kisu
Vijana wanaotafuta abiria Kwenye mabasi wameuwana leo asubuhi stand ya msamvu kisa kugombea abiria maarufu salange.
Wasimamizi wa stand wakiweka utaratibu mzuri inawezekana kabisa, wenzet Rwanda tu hapo wanaweza, kumbuka wapiga debe wanawashika hata abiria wanaosafiri na kampuni yenye mabasi mengi mfano Abood, BMKama magari ni mengi ya kwenda mwanza na huna tiketi mpiga debe yuko sahihi anakuwa amekupeleka kwenye hilo gari A sababu pengine bila yeye ungeweza kwenda gari B na kumbuka sio abiria wote wanaufahamu wa magari ya huko anakoenda.
Ila siungi mkono wapiga debe.
Na wanakuwaga dayworker wa bodaboda za pikipiki za vijiwe wanavyoshindia na bila kusahau wizi na kutumia vileviWaluguru kazi ngumu hawataki.wanataka hizo za kushinda stand tu
Kama Taifa wote tumekiwa Waswahili!nashangaa kwanini serikali imeshindwa kuwadhibiti hawa wapiga debe