Morogoro: Mpiga debe amuua mpiga debe mwenzake wakigombea abiria stendi ya Msamvu

Morogoro: Mpiga debe amuua mpiga debe mwenzake wakigombea abiria stendi ya Msamvu

Abiria wakati mwingine lazima uwe na uamuzi unasafiri na basi gani, huyo kaishia kuwagonganisha wapiga debe kwa kutokuwa na msimamo........mimi hata kama mpiga debe amenifuata, nitamwambia nasafiri na basi fulani.
 
haya unakwenda kuishia jela.
Hasira hasara.
Mimi michezo na miili ya watu hata sitaki.tumeshindwana nakuacha Kama ulivyo.
 
Back
Top Bottom