N Nyumisi JF-Expert Member Joined Nov 10, 2010 Posts 13,499 Reaction score 19,292 Mar 29, 2022 #41 Abiria wakati mwingine lazima uwe na uamuzi unasafiri na basi gani, huyo kaishia kuwagonganisha wapiga debe kwa kutokuwa na msimamo........mimi hata kama mpiga debe amenifuata, nitamwambia nasafiri na basi fulani.
Abiria wakati mwingine lazima uwe na uamuzi unasafiri na basi gani, huyo kaishia kuwagonganisha wapiga debe kwa kutokuwa na msimamo........mimi hata kama mpiga debe amenifuata, nitamwambia nasafiri na basi fulani.
mjingamimi JF-Expert Member Joined Aug 3, 2015 Posts 42,209 Reaction score 51,004 Mar 29, 2022 #42 haya unakwenda kuishia jela. Hasira hasara. Mimi michezo na miili ya watu hata sitaki.tumeshindwana nakuacha Kama ulivyo.
haya unakwenda kuishia jela. Hasira hasara. Mimi michezo na miili ya watu hata sitaki.tumeshindwana nakuacha Kama ulivyo.