Morogoro: Msanii Emmanuel Elibariki 'Nay wa Mitego', akamatwa na Polisi

hapo sio serikali ndio inataka wimbo wa ney uwe mashuhuri,bali ni ney mwenyewe ndiye anayetafuta umashuhuri kupitia mgongo wa serikali, na ukizingatia alikuwa ameshaanza ku-fade kimziki....wimbo kama huo wa ney ata kama angekuwa mbowe ambaye ni muhini na ni mpenda democrasia wa chadema yeye ndio angekuwa raisi (kwa mfano) ni lazima angeupa promotion sana huo wimbo mpaka ungeenda kwenye mtv awards nk. neema wa mitego hapo ulipo tunga nawingine tena au remix yake.
 
Jamani mlionao huo wimbo tupeni na sisi hapa JF au mtuambie unaitwaje tuudownload wenyewe. asingekamatwa nisinge kuwa na haja ya kutaka kuujua na wala sijui kama kuna wimbo mpya wa Ney.
 
Haki ya mungu na hii mishahara mkia wa mbuzi tutakoma,hapa naona lengo ni kukomoa.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] cha ajabu wale tulioanza kazi mwaka mmoja wilaya tofauti walipanda madaraja mwaka 2015 kabla hajaingia huyu kichaa,sasa wengine tunaugulia na hatujui hatima yetu.
[emoji12][emoji12][emoji12]

Jk hakutuelewa! Tulipotaka Rais Kama Kagame tulimaanisha Mrefu na Mwembamba tu na si vinginevyo!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] cha ajabu wale tulioanza kazi mwaka mmoja wilaya tofauti walipanda madaraja mwaka 2015 kabla hajaingia huyu kichaa,sasa wengine tunaugulia na hatujui hatima yetu.

Huyu hataki mambo ya Oprass ni Mwendo wa Mafunzo tu
 
Acha kumlinganisha mbowe wewe. Mbwe angekuwa raisi asingembeba bashite.
 
Mheshimiwa unajua mtu anaitwa BASHITE? ni jambazi kutoka KOLOMIJE.
 
Bingekuwa jaji mkuu ningemgonga sentence ya miaka mitatu huyo Neema wa Mitego mpenda sifa..
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] cha ajabu wale tulioanza kazi mwaka mmoja wilaya tofauti walipanda madaraja mwaka 2015 kabla hajaingia huyu kichaa,sasa wengine tunaugulia na hatujui hatima yetu.
Hapakua na haja ya kuweka neno "kichaa", ndo mnafanya mitandao ya kijamii ionekane haifai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…