Morogoro: Msanii Emmanuel Elibariki 'Nay wa Mitego', akamatwa na Polisi

Yatakuwa ni maagizo tu
 
Kila kitengo kilichoaminiwa na kupewa dhamana kipewe uhuru wa kufanya kazi zake.
Lkn sio kazi za mamlamka ya maji zinafanywa na Tanesco.
Nonesense
 
Mm naona ingekua bora kama kuna mtu amekashfiwa kwenye huu wimbo ajitokezee yy aseme ila sio kujipendekeza kwa kumkamata ney wakat hakuna alielalamika kua amekashfiwa..wabongo njaa zitatuua kwa kujipendekeza mm sioni kosa lake ney hapo.
 
Acha ujuha kukosolewa sawa sio matusi, naona ile heshma ya taasisi ya urais imerejea na mtaelewa sasa, huyo domo alizoea kutukana wasanii wenzie akaona hata sasa anaweza kunya tu anavyojickia
 
Kama wimbo wa ney umekukera usiusikilize coma shida zako si za kila mtu....ukiona shida sana pasua tv/ redio/ simu yako.
 
Autro yake ndio inanimaliza kabisa anasema
"Mtu gani wewe usiyependa kushauriwa usiyependa kukosolewa umelogwa wewe unajiona ndugu yake Na yesu"
Kweli akichomoza hapa sizonje atakuwa kweli kipenzi cha mungu..
NAJARIBU KUTAFAKARI...
 
Nahisi rais anaona aibu kumtumbua makonda.Ila alishaamuua hivyo maana anahasira then hajui kwanin....
 
Hapakua na haja ya kuweka neno "kichaa", ndo mnafanya mitandao ya kijamii ionekane haifai
Yeye ni mtunzi wa nyimbo hauwezikumpangia hii vesi aiwekewapi,hakuna aliemsindikiza wakati anatunga nyimbo yake,yeye ndo anajua umuhimu au aja ya kuweka neno kichaa.
 
mods wanatumika mtu akitukana gvt kimya ila tofauti ya hapo uzi unafutwa sasa watajiponza na watarudi mtaani baada ya jf kufungwa
Sawa tu kwani wao sio wtz,kama ni ugum wa maisha hata wao wanauona,wakat anatunyoosha sis tunanyoosha kiana!!...
Acha ujuha kukosolewa sawa sio matusi, naona ile heshma ya taasisi ya urais imerejea na mtaelewa sasa, huyo domo alizoea kutukana wasanii wenzie akaona hata sasa anaweza kunya tu anavyojickia
 
Kama wimbo wa ney umekukera usiusikilize coma shida zako si za kila mtu....ukiona shida sana pasua tv/ redio/ simu yako.
Kwanza wasimpangie Ney, aliamua kuwa msanii mwenyewe, alienda studio mwenyewe hakuna aliye mlazimisha, kwa hiyo wasimpangie cha kuimba hapo
 
kama hayo maneno ulio malizia ndiyo yapo kwenye huo wimbo basi anastahiri kukamatwa bila hata ya basata kuhusika na kama wewe ndiye uliye andika basi unastahiri kuwa sero mda huu huwezi kukosoa mtu au kitu kwa kutenda kosa .
 
angekua hana uhuru hata muda wa kutunga hayo mashairi uchwara yake asingeupata.
 
kama hayo maneno ulio malizia ndiyo yapo kwenye huo wimbo basi anastahiri kukamatwa bila hata ya basata kuhusika na kama wewe ndiye uliye andika basi unastahiri kuwa sero mda huu huwezi kukosoa mtu au kitu kwa kutenda kosa .
Kosa ni nini hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…