hamisi kumbuka
Member
- Nov 3, 2014
- 9
- 11
Yatakuwa ni maagizo tuBaraza la sanaa la taifa ndilo linawajibu wa kushughulika na kazi za sanaa na wasanii ikiwemo content ya kazi zao
Msanii akitoa kazi inayokuwa na content isiyo na maadili au isiyokubalika na jamii ya watanzani, ni BASATA ndio wanatakiwa kushughulika na msanii husika hata kumpatia adhabu inayostahili ikiwepo kuifungia kazi husika na msanii mwenyewe
hii ni tofauti kwa Nay wa Mitego!
kwa nini Amekamatwa na polisi ilhali BASATA ipo?
hapa jeshi limeingilia majukumu ya Basata!
ni nani katoa order ya Nay kukamatwa bila ya Basata?