Morogoro: Msanii Emmanuel Elibariki 'Nay wa Mitego', akamatwa na Polisi

Morogoro: Msanii Emmanuel Elibariki 'Nay wa Mitego', akamatwa na Polisi

Haya yote kayataka Makonda....

Kama angethibitisha toka mwanzo kuwa yeye sio Bashite huku kote tusingefika.
 
Huyu ney analaana, kwanini asimbe wimbo wa kumtukana mama yake na baba yake kwanza. Nyimbo nyingi matusi makubwa hovyo hovyo. Na huu wimbo kuna watu wane wamemzamini, njaa mbaya sana. Mimi nashauri anyooshe ili kuanzia sasa awe na adabu
Na kwanini aimbe yeye kumtukana mama yake na baba yake?
 
Wamemkamata ndio, watamfunga ndio ila wimbo wake utabaki mioyoni mwetu, utabaki kwenye cm zetu utapigwa kwenye radio zetu
 
Kuna viongozi.... maana wana mambo ya kis.....
Hili ni tusi kwa nani? Maana halijaenda kwa mtu specific! hata mashetani wana viongozi wao sasa tusaidie nani alietukanwa hapo; ila mi sijatukana[emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kupitia Kurasa Zake Za Instagramu,facebook Na Twitter Msanii HARMO RAPA amepost kuwa anaelekea CENTRAL POLISI kwa ajili yakumuona na kumpa pole Msanii mwenzie wa hip hop NEY WA MITEGO ambaye amekamatwa na maofisa usalama kwakile kinachodaiwa ameitukana serikali
 
4b1f48d03a4b488877d8a689bf27485e.jpg
Ni
 
Ipo siku isiyo na jina hizi kiki zitakuja kumdhuru sana!!
Hifadhi maneno yangu haya
 
Huyu nae anapenda kuishi kwa kiki anajua karibia anazima kimziki
 
Back
Top Bottom