Morogoro: Msanii Emmanuel Elibariki 'Nay wa Mitego', akamatwa na Polisi

Katukana vipi? Hebu tutajie baadhi ya matusi aliyoyatoa...
We mtu gani hutaki kukosolewa..umerogwa....unajiona ndg yake na yesu...kichaa kapewa rungu....we huwa unaongea na baba yako hvo ata akiwa ana mapungufu..
 
 
Mrisho mpotto, ROMA, KALA JEREMIAH someni alama za nyakati. HUU UTAWALA SIO WA KI SPOTI SPOTI.
 
Watampeleka mahakamani na atawashinda mchana kweupe. Hakutaja jina la mtu mle na itabidi wanaoshtaki wathibitishe beyond doubt huyo ''dokta wa kutumbua majipu'' na ''jipu kuu kutoka kolomije'' wanaotajwa ni akina nani. Yale yale ya ''Dikiteta Uchwara'' ambapo hata shahidi wa upande wa mashtaka kugoma kujibu/kudai kwamba hamjui Dikiteta Uchwara/
 
Uhuru wa kuongea ni mtamu ila uhuru huohuo ukiutmia vibaya unakua sumu...me siwapend ccm na serikali yake ila the way watu wanavo toa matusi na kejeri binafsi sifurahii yaan tukiendelea kushabikia kila mtu anachokiwaza na kukitoa kwa jamii...hii sio njia ya kutukomboa bali ni njia ya kuandaa maafa badae....
 
Ngoma ya Niki mbishi "Am sorry Jk"..haikua na tusi la aina yyte/lugha kali yyte ila BASATA wakaifungia..
Ss hii ya Ney wa mitego ni Dhahiri kavuka mipaka na kasahau Maadili ya kazi yake ya SANAA..
hoW comes useme "Naona kichaa kapewa Rungu" tht means tunaongozwa na mtu ambaye hajui analofanya/Hajielewi?!!.Line nynge inasema "Unajifanya nDugu yke yesu"..+"Kuna viongozi wanavuta Bangi, maana wana Maamuzi ya ki**nge"..
Hvi kweli nDio maana ya "msanii ni kioo cha Jamii?? Ama anatumiwa na Watu kuriDhisha matakwa yao?.

Kingine mkulu kishasema,Ukimpangia NDIO UNAKUA UNAHARIBU,.
Na alipaswa asome alama za Nyakati, ye haoni mkali wa kutunga Ngoma kali zenye mauDhui ya kisiasa "R.O.M.A" Katulia anausoma Upepo!!..
Kwa kifupi Jamaa KAKURUPUKa+KAJITAKIA MWENYEWE
[HASHTAG]#ACHAAISOMEnamba[/HASHTAG]
 
Kila msanii akisema aogope mwisho wa siku ukweli hauta semwa, nadhani Nay alikuwa anajua kabisa kitakacho mtokea, nampongeza kwa kuwa mkweli
Na uzuro hakuna kosa alilo fanya kisheria
 
Polee sana ila naamini utatoka na majibu yako yatakuwa yamepatikana
 
Bila kujali watanzania wote tunatakiwa tuamke kila mtu kulingana na nafasi yake atumie nafasi aliyopo kukosoa serikali pale inapokosea
 
Sasa mambo gani haya!
kwanini wasingemtaka aripoti polisi dar kiliko kutumia kodi zetu kuwasafirisha watu as if ni majambazi yalitumia silaha?
 
Endele A kuwa muoga kama kunguru, tunahitaji ukombozi na saa Ni hii
 
Aliyetukanwa hapo no nani? katajwa jina nani? Uongoz uliopo umefikaje hapo? Serikali haimtambui bashite sasa hapa kosa lipo WAP?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…