Ngoma ya Niki mbishi "Am sorry Jk"..haikua na tusi la aina yyte/lugha kali yyte ila BASATA wakaifungia..
Ss hii ya Ney wa mitego ni Dhahiri kavuka mipaka na kasahau Maadili ya kazi yake ya SANAA..
hoW comes useme "Naona kichaa kapewa Rungu" tht means tunaongozwa na mtu ambaye hajui analofanya/Hajielewi?!!.Line nynge inasema "Unajifanya nDugu yke yesu"..+"Kuna viongozi wanavuta Bangi, maana wana Maamuzi ya ki**nge"..
Hvi kweli nDio maana ya "msanii ni kioo cha Jamii?? Ama anatumiwa na Watu kuriDhisha matakwa yao?.
Kingine mkulu kishasema,Ukimpangia NDIO UNAKUA UNAHARIBU,.
Na alipaswa asome alama za Nyakati, ye haoni mkali wa kutunga Ngoma kali zenye mauDhui ya kisiasa "R.O.M.A" Katulia anausoma Upepo!!..
Kwa kifupi Jamaa KAKURUPUKa+KAJITAKIA MWENYEWE
[HASHTAG]#ACHAAISOMEnamba[/HASHTAG]