Morogoro: Msanii Emmanuel Elibariki 'Nay wa Mitego', akamatwa na Polisi

Morogoro: Msanii Emmanuel Elibariki 'Nay wa Mitego', akamatwa na Polisi

,.....ngoja wamkamate ili wasanii wengine wanaotumika sana na ccm wakati wa kampeni waamke na waikatae......wameanza na wema...sasa wako na huyu...kesho watakamata wengine...ili ni angalizo....muda kwa wasanii wote kuungana na kuwakataa hawa watawala dhalimu umefika....
ndoto za mchana kweupeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.
 
Bora huyo Kawa muwazi kasema hadharani wabaya na walio mamilioni ni wale wanaotukana na kuikashifu kimya kimya mioyoni. Hawa sijui watakamatwaje. Behind Ney Kuna mamilioni only hawatoi maneno yakasikika. Hii ni kutibu symptoms badala ya chanzo cha ugonjwa
 
Mkuu wakikujibu naomba niite. Maana hili swali hata akiulizwa Marais wa hawamu zote sijui kama watakuwa na Jibu.
Sijui mahakamani kesi watai-frame vipi? Maana makosa hayatamkiki kama ile ya lissu na dik uchwara. Labda watambambikia kesi nyingine kabisa maana vinginevyo watashindwa kuthibitisha hizo kashfa wala wakashfiwa
 
Back
Top Bottom