Morogoro: Msanii Emmanuel Elibariki 'Nay wa Mitego', akamatwa na Polisi

ndoto za mchana kweupeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.
 
Safi sana, ashughulikiwe ipasavyo, kucriticise ni haki ila kutukana ni jinai.
Amemtukana nani vile? Na kamtukana matusi gani? Mie sijabahatika kuusikiliza huo wimbo uliomtia matatani
 
Huyu mtafuta Kiki ameshaletwa Dar
 
Bora huyo Kawa muwazi kasema hadharani wabaya na walio mamilioni ni wale wanaotukana na kuikashifu kimya kimya mioyoni. Hawa sijui watakamatwaje. Behind Ney Kuna mamilioni only hawatoi maneno yakasikika. Hii ni kutibu symptoms badala ya chanzo cha ugonjwa
 
Mkuu wakikujibu naomba niite. Maana hili swali hata akiulizwa Marais wa hawamu zote sijui kama watakuwa na Jibu.
Sijui mahakamani kesi watai-frame vipi? Maana makosa hayatamkiki kama ile ya lissu na dik uchwara. Labda watambambikia kesi nyingine kabisa maana vinginevyo watashindwa kuthibitisha hizo kashfa wala wakashfiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…