Morogoro: Msanii Emmanuel Elibariki 'Nay wa Mitego', akamatwa na Polisi

Morogoro: Msanii Emmanuel Elibariki 'Nay wa Mitego', akamatwa na Polisi

Kuna wakati namuelewa sana SANA sana Magufuli na nimejaribu kuangalia wengi wanaolalamika ni wale wale wa siku zote ambao hawataki mambo yao yawe hadharani
 
Hizi jera naona zitajaa hadi wataomba hifadhi jera za kigeni

Mkulu unatakiwa kugundua wananchi hawakupendi basi we mbishi tu
 
Cyo kwakenda kusafishwa kucha na kinywa huko pole yake,ila wimbo wake unaelekea kumfunika darasa pande iz
 
Usijal tutakuletea Jiwe Kuu la Mawakili TUNDU LISSU kiboko ya serikali hii ktk kesi bambikizi ka hiz wanaujua Moto wake Huyu RAIS wa TLS
 
Msanii wa Muziki Nay wa Mitego Akamatwa na Polisi Morogoro alikoenda kwenye shuguli binafsi. Mpaka sasa sababu za kukamatwa Kwa Nay hazijafahamika. Msanii huyo alikamatiwa hotelini alikofikia na baadae kufikifikishwa kituo cha Polisi Mvomero
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Watu hawawez kunyamazishwa kwa garama yoyote, rais magufuli tafadhali chunguza wapi umekosea uanze upya maana kila kukicha RAIA wanazidikukosa imani na wewe hasa pale wale wote wanaosema ukweli wanakamatwa na wengine kufutwa kazi!
[HASHTAG]#freeNay[/HASHTAG] [HASHTAG]#Wapo[/HASHTAG]
cde370e6440c3a5327b73ac51508173a.jpg
 
Vitu vingne ni vya kujitakia....Acha aisomee NUMBER.....inajulikana kabsa huyu kipindi kile cha kampeni alikuwa TEAM LOWASSA afu na upuuzi wake anaimba nyimbo za kumkashifu RAIS afu aachwe.....yeye anadhani RAIS ni kama hao wasanii wenzake aliozoea kuwatukana.....
Ifikie mahali HESHIMA IWEPO KWA RAIS.....tena mimi ndiye ningekuwa ni RAIS i swear ningempeleka kwa MILITARY POLISI nimfundishe adabu maana alikuwa najaua kabsa OUT ya anacho kifanya kupitia huo wimbo.......Watu hawataki kabsa kujifunza kutokana na MAKOSA....how many times anaitwa BASATA kuonywa tokana na nyimbo zake...
Si anajua kuimba sana AACHE AKAWAIMBIE WAFUNGWA HUKO......
 
Vitu vingne ni vya kujitakia....Acha aisomee NUMBER.....inajulikana kabsa huyu kipindi kile cha kampeni alikuwa TEAM LOWASSA afu na upuuzi wake anaimba nyimbo za kumkashifu RAIS afu aachwe.....
Amemkashifu Rais gani?
 
Back
Top Bottom