seph0408
JF-Expert Member
- Aug 26, 2011
- 1,180
- 703
Watajenga ukuta, dar yote central wote wenye smar4n peleka centralAcha mie nikaushe isije tukajaa central watz wote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watajenga ukuta, dar yote central wote wenye smar4n peleka centralAcha mie nikaushe isije tukajaa central watz wote
Ha haaaaa hatupangiwi bana! Na yeye anafanya nini kwenye mitandao?Na haja mtajaa mtuu...!! Mhe amesema hapangiwii nani akae wapi...muda gani n kwa nini afuu anataka apangie watuu maisha...waandishi nin cha kupost...wasaniii nini cha kuimba...!! Bado kutupangia nini cha kulaa tuu
Atawafunga wangapi?Vijana mliopo bongo msijifanye kumuiga MANGE KIMAMBI mtaumia na kuzipa familia zenu shida,hari ishakuwa mbaya .
Viongozi wapo maelfu..hata nursery school wana viongozi wao!Kuna viongozi.... maana wana mambo ya kis.....
Anafanya nini?tupo nae gereza la mbigiri hapa dakawa.
Atumike Ili iweje sanaa Ni talanta we ulivyoandika hapa kwani umetumwa kuandika ainisho Na lumumba.Mambo mengine kujitakia tu we msanii mkongwe kabisa unawezaje kuimba wimbo wa kipuuzi namna ile?
Hivi kweli hatuna mambo ya mazuri ya kijamii au kiuchumi ya kuimba zaidi ya huu upupu alioimba?
Anatafuta kiki au?
Ili iweje?
Anatumwa?
Au anatumika?
Kwa faida ya nani?
Kwa maslahi yepi ?
Ili apate nini?
Not to that extent!!!!!!!!!
Usitokwe povu muache athubutu kusema ukweli na mahakama itaamuaHuyu ney analaana, kwanini asimbe wimbo wa kumtukana mama yake na baba yake kwanza. Nyimbo nyingi matusi makubwa hovyo hovyo. Na huu wimbo kuna watu wane wamemzamini, njaa mbaya sana. Mimi nashauri anyooshe ili kuanzia sasa awe na adabu
Usiogope kuongeza idadi sentro. Kadri unayokamata akina Nay wengi, ndivyo wanavyozidi kujitokeza wengine wengi zaidi. Mbegu haiwezi kuota na kuzaliana mpaka ife na kuoza.Acha mie nikaushe isije tukajaa central watz wote
Taifa hili ma fa fa fa fa mko wengi sana.... Sasa hayo maneno wewe umeshajua alielengwa..!????Autro yake ndio imeniua kabisa anasema
"Mtu gani wewe hupendi kushauriwa,hupendi kukosolewa umelogwa wewe unajiona ndugu yake Na yesu"
Kweli hapa akichomoza sizonje atakuwa mpenzi WA mungu kwa kusema kweli..
[emoji106] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]KESI YA UCHOCHEZI YA NEY WA MITEGO NA WIMBO WAKE MPYA WAPO
NA
,Mdude nyagali
WAKILI; unasema wewe ni afisa wa polisi ney wa mitego alifanya uchochezi kwenye nyimbo yake na baadhi ya maneno yaliyopo kwenye hati ya mashtaka yameandikwa kichaa kapewa rungu hebu iambie mahakama kichaa aliyemsema ney ni yupi?
SHAHIDI PC;;kichaa aliyemsema ney ni mtukufu
WAKILI;;ifafanulie vizuri mahakama wewe ulijuaje kama kichaa aliyeimbwa na ney ni mtukufu?
SHAHIDI PC.;mimi nilihisi kuwa atakuwa mtukufu kwa kuwa ney ni timu ukawa;
WAKILI;;shahidi hivi unafahamu kuwa ushahidi wa kuhisi na kupiga ramli mahakamani haupo kwa kuwa sio kwa mganga wa kienyeji na haupo kwenye sheria yoyote?
SHAHIDI PC;;ndiyo
WAKILI;;Sasa ebu iambie mahakama bila kuhisi huyu kichaa kapewa rungu aliyemuimba ney ulijuaje ni mtukufu?
SHAHIDI PC;;kimya
WAKILI;kuna maneno mengine unayakumbuka ambayo ni ya kichochezi na yapo kwenye wimbo wa ney?
SHAHIDI PC;ndiyo
WAKILI;;unaweza kuyataja?
SHAHIDI PC;;1,kuna watu hawana malinda,,2.daudi bashite kavoji vyeti,,,3.hutaki ushauri unajifanya ndugu yake yesu
WAKILI;kwa hiyo watu kutokuwa na malinda ni uchochezi?
SHAHIDI PC;ndiyo
WAKILI;ebu iambie mahakama nini maana ya kutokuwa na malinda?
SHAHIDI PC;;kimya
WAKILI ;;jibu mheshimiwa HAKIMU anasubili a note jibu lako
SHAHIDI;;sijui ila nilisikia bungeni mbunge wa mbeya mjini mheshimiwa mbilinyi akiongea kuwa gavana akaguliwe malinda.
WAKILI ;je wewe una hiyo malinda?
SHAHIDI PC;sina na siijui
WAKILI;;Kwa upelezi wako kama afisa wa polisi ulijua ney wa mitego anamsema nani ambaye hana malinda?
SHAHIDI PC;katika kufanya upelelezi tukishilikiana na ofisi ya OCCID na ofisi ya RCO tuligundua ney alikuwa anamsema gavana wa mkoa wetu kuwa ndiye hana malinda
WAKILI;wewe ulijuaje kama ney anamsema gavana huenda alikuwa anakusema wewe na wewe si umesema hapa na mahakama ime note kuwa huna malinda?
SHAHIDI PC;hapana sio mimi ni gavana
WAKILI;;;Kwani kuna mstari wowote wa huo wimbo gavana ametajwa?
SHAHIDI PC;;hapana ila ametajwa kwa jina la daudi bashite;
WAKILI;;;kwani gavana alishawahi kusibitisha popote au kanisani ama kiapo cha mahakama kuwa jina la daudi bashite ni lake?
SHAHIDI PC;;sijui ila naona kwenye mitandao watu wanamuita hivyo.
WAKILI;;huko kwenye mitandao ni akina nani wanamuita hivyo?
SHAHIDI PC;akina Mdude Chadema Nyagali, Malisa GJ, Daniel Ezekiel Daniel Kumbusho Dawson Kagine Michael Mwaikenda Boniface Mwabukusi Yericko Nyerere Bob Chacha Wangwe Boniface Jacob Julius S. Mtatiro mange kimambi Tanzagiza Hilda Newton Chadema Karama Kaila na wengine wengi
WAKILI;;je unaweza kumleta gavana ili aje aisibitishie mahakama kuwa yeye ndiye bashite halafu ndio tuendelee na tafsiri ya neno malinda?
SHAHIDI PC.;itakuwa ngumu mheshimiwa kumleta gavana.
WAKILI;;unafahabu kwa mujibu wa sheria usipo mleta gavana kuthibitisha kuwa yeye ndiye daudi bashite ushahidi wako kuhusiana na malinda unakosa uhalali mbele ya mahakama tukufu?
SHAHIDI PC;kimyaaa
WAKILI;unafahamu kuwa kwa mujibu wa katiba serikali yetu haina dini ila wananchi wake ndio wana dini?
SHAHIDI PC;;ndiyo
WAKILI;;unakubaliana na mimi kuwa kwa mwongozo huo wa katiba ili uwe na undugu na yesu ni lazima uwe myahudi au muisrael?
SHAHIDI;;Ndiyo
WAKILI ;;sasa haya maneno unayosema ni ya uchochezi kwenye wimbo wake kuwa hashauliki ana undugu na yesu ulijua ney anamsema ni nani?
SHAHIDI;;ney alikuwa anamsema ni mtukufu kwa kuwa wapinzani hulalamika kuwa mtukufu hashauriki.
WAKILI;;kwani mtukufu ni muyahudi?au ana vitambulisho vyovyote vinavyoonyesha ni muisrael ama viashilia vinavyoonyesha ana undugu na yesu?
SHAHIDI;;kimyaaa
NINGEKUWA WAKILI MIMI MDUDE HAKIKA KESI YA NEY NINGEJITOLEA KUISIMAMIA BURE.
Mdude nyagali
sumu ya nyigu