Morogoro: Msanii Emmanuel Elibariki 'Nay wa Mitego', akamatwa na Polisi

Morogoro: Msanii Emmanuel Elibariki 'Nay wa Mitego', akamatwa na Polisi

Duuh na wewe ndugu yako Yesu? maana wabongo kwa kujifanya Wayahudi /Waisrael
ndio, YESU NDIYE NINAYE MWAMINI, UKIWA KWAKE MATATIZO YAKO YATAISHA KARIBU MPENDWA UMPOKEE AWE MWOKOZI WA MAISHA YAKO. UZINZI, BANGI ,ULEVI N.K Havitokusadia njoo kwake Yesu uokolewe maana wengi waliokuja kwake hawajajuta..
 
Weusi-madaraka ya kulevya yan watakubal tu had wasalenda Isakueni hy ngoma mpya
 
IMG_20170327_135844_361.jpg
 
AAARRRHAAAMMMUU psiiiiiiiiiiiii, tukutane stendi 2020.
 
Ney katoka moro -dar bure asee asanteni police kwa lift ile mliyompatia ney
 
Kwanini watanzania hamtaki kushughulisha bongo jaman?

Huyu Ney, alikua anawindwa na Maguful na team yake A.K.A Daudi Bashite, wakaona ni aibu yeye kukamatiwa hapa dar ambapo watoto Wa mjini Sikh hizi wanahoji kila kitu, wakatengeneza zengwe akamatiwe Morogoro, ili ionekanae kwamba, makosa kafanyia kule. Lakini sasa RPC Wa Morogoro akamuogopa Mungu, na hii ni ishara kwamba, hata jeshi la police limeanza kumchoka bwana Sana'a, akaamua kusema ukweli kwa maneno haya;

Shitaka lake liko Darisalama, sisi tumepewa tu maelekezo kwamba tumkamate, hivyo tutampeleka dar na hatutaki kukaa naye hapa.

Huu ni uzalendo Wa kiwango cha juu, na sidhani kama kuna police alishawahi kufanya hivi tangu Uhuru Wa nchi hii. Mungu mbariki huyu MTU.

Ney mtafute umshukuru, ungekwisha.
 
Ama kweli hii nchi, maendeleo hayatakaa yaletwe na hawa wasanii wawili.
 
Back
Top Bottom