Kwanini watanzania hamtaki kushughulisha bongo jaman?
Huyu Ney, alikua anawindwa na Maguful na team yake A.K.A Daudi Bashite, wakaona ni aibu yeye kukamatiwa hapa dar ambapo watoto Wa mjini Sikh hizi wanahoji kila kitu, wakatengeneza zengwe akamatiwe Morogoro, ili ionekanae kwamba, makosa kafanyia kule. Lakini sasa RPC Wa Morogoro akamuogopa Mungu, na hii ni ishara kwamba, hata jeshi la police limeanza kumchoka bwana Sana'a, akaamua kusema ukweli kwa maneno haya;
Shitaka lake liko Darisalama, sisi tumepewa tu maelekezo kwamba tumkamate, hivyo tutampeleka dar na hatutaki kukaa naye hapa.
Huu ni uzalendo Wa kiwango cha juu, na sidhani kama kuna police alishawahi kufanya hivi tangu Uhuru Wa nchi hii. Mungu mbariki huyu MTU.
Ney mtafute umshukuru, ungekwisha.