MOROGORO: Mtu mmoja afariki baada ya kuigonga Treni


Mtu mmoja ambaye hakufahamika majina yake licha ya kutambulika kuwa ni jamii ya Kimasai kutokana na mavazi aliyovaa, anadhaniwa kuigonga treni ya mizigo na kufariki dunia papo hapo katika reli ya Morogoro - Dodoma eneo la kijiji cha Kimamba “B” Wilaya ya Kilosa mkoa wa Morogoro.

Akizungumza na ITV Mkuu wa kituo cha treni Kimamba Bw.Amedius Ishengoma amethibitisha kutokea kwa tukio hilo.
 
Treni vipi?

Apumzike mahala salama.
 
Mwenzao amegongwa akafariki na wao wamejazana kwenye reli as if wakisimama mbali hawawezi kuona
 
Pole zake..
Vipi treni liko kwenye haki gani maana haya ma sheria walioweka li chuma ndio linaangaliwa
 
hakufahamika majina yake licha ya kutambulika kuwa ni jamii ya Kimasai kutokana na mavazi aliyovaa
Tuliwahi kuulizwa humuhumu JF kama kuna mtu amewahi muona maiti au kabuli la masai zaidi ya lile la sokoine, kazi kwa yule mleta uzi afuatilie huyu atazikwaje na wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…