afadhali mvua kuliko ukame. Huku Jua kali degree 1200 oC😁😁😁😁😁😁🤣🤣🤣🤣🤣Mungu ni mwema, ule ukame uliotutia hofu kwamba huenda mwaka huu kukawa na njaa imetoweka, kuna mvua kubwa sana inanyesha ikiambatana na radi, japo hofu ni kwa wale waliojenga mabondeni, usalama wao huenda ukawa mdogo sana, ilitokea siku chache zilizopita baadhi ya makazi ya watu yaliingiwa na maji na kusababisha taharuki.
Heri siku ya wapendanao
Yaani viongozi wanaopewa dhamana wakiwa nje ya mfumo wanawaza yalio mazuri, ila wakipewa majukumu daa sijui ufahamu wao huwa unabaki wapi?Moruwasa wanazingua ni kweli Mkuu
Ni kweli, yaani huwezi amini pale Moro maji yanakosekana mnahangaika na mindoo mtaaniMashindano ya kujilimbikizia mali😀
Ndiyo hivyoWakati maji yanayotumika Dar na Chalinze hado Bagamoyo yanatoka Morogoro
Twaib twaibAlhamdulillah. Mvua inanyesha, mazao yawe mengi inshallah.