Morogoro: Mvua Kubwa Inaendelea Kunyesha

Faana

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
38,657
Reaction score
44,759
Mungu ni mwema, ule ukame uliotutia hofu kwamba huenda mwaka huu kukawa na njaa imetoweka, kuna mvua kubwa sana inanyesha ikiambatana na radi, japo hofu ni kwa wale waliojenga mabondeni, usalama wao huenda ukawa mdogo sana, ilitokea siku chache zilizopita baadhi ya makazi ya watu yaliingiwa na maji na kusababisha taharuki.

Heri siku ya wapendanao
 
afadhali mvua kuliko ukame. Huku Jua kali degree 1200 oC😁😁😁😁😁😁🤣🤣🤣🤣🤣
 
,
20220130_093611.jpg
 
"Naipongeza serikali ya ccm kwa mafanikio haya" alisikia kada mmoja wa mbogamboga
 
Mungu ni mwema sana ,acha inyeshe tupate maji na mazao yavunwe kwa wingi, ila msiache kukinga maji
 
Moruwasa wanazingua ni kweli Mkuu
Yaani viongozi wanaopewa dhamana wakiwa nje ya mfumo wanawaza yalio mazuri, ila wakipewa majukumu daa sijui ufahamu wao huwa unabaki wapi?
 
Mashindano ya kujilimbikizia mali😀
 
Ni kweli, yaani huwezi amini pale Moro maji yanakosekana mnahangaika na mindoo mtaani
Wakati maji yanayotumika Dar na Chalinze hadi Bagamoyo yanatoka Morogoro
 
Back
Top Bottom