Morogoro: Mwalimu mbaroni kwa kumbaka mwanafunzi wake

Morogoro: Mwalimu mbaroni kwa kumbaka mwanafunzi wake

Sijui watu kama hao wangelikuwa wanahasiwa sijui lingepatikana kundi tena la kuwatetea!

Me naona kunyonga haitoshi, kuhasi ni zaidi ya kunyonga, maana ni sawa na kutobolewa macho ukubwani ili aanze kuona kwa kusimuliwa.
Itabidi sheria ibadilishwe maana hivi vitendo vya ubakaji vimezidi sana
 
Jeshi la Polisi mkoani Morogoro, linamshikilia mwalimu wa taaluma katika Shule ya Msingi Montfort, Eneza Andarson, 27, kwa tuhuma za kumbaka mwanafunzi wake wa darasa la tano mwenye umri wa miaka 10, kwa nyakati tofauti.

Akizungumza na waandishi wa habari, Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro, SACP Wilbroad Mutafungwa, amesema kuwa mtuhumiwa huyo amekuwa akifanya kitendo hicho cha unyanyasaji kwa mwanafunzi huyo mara kwa mara katika maeneo mbalimbali shuleni hapo, ikiwemo ofisini na hata kumfuata chooni.

"Mwanafunzi huyo ni mkazi wa Kihonda baada ya kumhoji alikubali kufanyiwa vitendo hivyo na mwalimu wake na aliweza kusimulia namna ambavyo alikuwa anafanyiwa vitendo hivyo vya kikatili, wakati mwingine alikuwa anafanyiwa chooni na hata ofisini", ameeleza Kamanda Mutafungwa.

Aidha Kamanda Mutafungwa, amewashauri wazazi kuhakikisha wanafuatilia mienendo ya watoto wao , ikiwemo kuwakagua ili kujihakikisha kama hakuna vitendo vya ukatili wanavyofanyiwa.

©Muungwana
Hivi hawa walimu wetu wamepatwa na ugonjwa gani? Thirty years is there, very vivid!! Hivi ni kitu gani?
 
Hivi dudu huwa inazama yote kweli kwa umri wa huyo mtoto na huyo jamaa mwenye 27 yrs ! wajuvi
 
Jamaa itakuwa kapiga wanafunzi kibao chuchu saa sita, akaona ngoja ashuke age aende kwa mtoto mdogo kabisa.
 
Ukute ticha alikuwa anadai mkataba wake wa kazi au marupurupu fulani ya ajira...

Shule ikaona huyu ataleta noma ngoja tulale nae mbele kwa stahili hii

Who knows who care?
 
Sijui watu kama hao wangelikuwa wanahasiwa sijui lingepatikana kundi tena la kuwatetea!

Me naona kunyonga haitoshi, kuhasi ni zaidi ya kunyonga, maana ni sawa na kutobolewa macho ukubwani ili aanze kuona kwa kusimuliwa.
Hakika......japo hukumu bado....ikithibitika AHASIWE....kumfunga maisha bado ataendelea kula kodi yetu, au kumnyonga umrmrahisishia safari yake.....yote.....sio suluhu.......AHASIWE arudi mtaani awe kiburudisho......kuna nchi wanakatwa ubolo hadharani...
 
Mkuu nchi gani hiyo?
Hili la kuhasiwa limeanza jimbo flani Nigeria.
 
Back
Top Bottom