Morogoro: Mzee Yahaya auawa kwa kucharangwa mapanga na watu wanaodaiwa kuwa ni 'Wafugaji'

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Mkazi wa Kijiji cha Lubungo Kata ya Mikese wilayani Morogoro Mzee Yahaya Yahaya, anayekadiriwa kuwa na Umri wa Miaka 70 hadi 80, ameuawa kwa kucharangwa mapanga na watu wanaodaiwa kuwa ni Wafugaji, wakati akijaribu kuwazuia wasiingize Mifugo shambani kwake, hali iliyosababisha wananchi kugomea kuzika mwili wake hadi watakapopata suluhu ya serikali, kuhusu malalamiko yao dhidi ya changamoto za aina hiyo katika maeneo yao.

Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Lubungo anakiri uwepo wa mfululizo wa matukio ya Wafugaji kuvamia mashamba ya Wakulima, lakini baadhi yao hufanikiwa kupata haki zao baada ya tathmini.

Hao wamasai huko wanadekezwa sana,piga risasi wote mbwa hao, wanaua mzee wa miaka 80? Kweli?wapigwe risasi au wafukiwe wazima wazima
 
Mkazi wa Kijiji cha Lubungo Kata ya Mikese wilayani Morogoro Mzee Yahaya Yahaya, anayekadiriwa kuwa na Umri wa Miaka 70 hadi 80, ameuawa kwa kucharangwa mapanga na watu wanaodaiwa kuwa ni Wafugaji, wakati akijaribu kuwazuia wasiingize Mifugo shambani kwake, hali iliyosababisha wananchi kugomea kuzika mwili wake hadi watakapopata suluhu ya serikali, kuhusu malalamiko yao dhidi ya changamoto za aina hiyo katika maeneo yao.

Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Lubungo anakiri uwepo wa mfululizo wa matukio ya Wafugaji kuvamia mashamba ya Wakulima, lakini baadhi yao hufanikiwa kupata haki zao baada ya tathmini.

Mnaye mlilia yuko busy na yake
IMG-20250322-WA0000.jpg
 
Mafanikio ya mama na haya ndio maajabu yake
 
Mkazi wa Kijiji cha Lubungo Kata ya Mikese wilayani Morogoro Mzee Yahaya Yahaya, anayekadiriwa kuwa na Umri wa Miaka 70 hadi 80, ameuawa kwa kucharangwa mapanga na watu wanaodaiwa kuwa ni Wafugaji, wakati akijaribu kuwazuia wasiingize Mifugo shambani kwake, hali iliyosababisha wananchi kugomea kuzika mwili wake hadi watakapopata suluhu ya serikali, kuhusu malalamiko yao dhidi ya changamoto za aina hiyo katika maeneo yao.

Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Lubungo anakiri uwepo wa mfululizo wa matukio ya Wafugaji kuvamia mashamba ya Wakulima, lakini baadhi yao hufanikiwa kupata haki zao baada ya tathmini.

Hatari sana!
 
Suruhisho ni kupiga dawa ya kuua shambani kwako. Kuna mmoja alipiga dawa shambani kwake kumbe siku hiyo mfugaji kapanga kuingiza mifugo usiku ila kilichotokea ng'ombe 150 walifia palepale
 
Dah! Inasikitisha sana, hii migogoro ya wakulima na wafugaji ni tatizo kubwa sana
 
Suruhisho ni kupiga dawa ya kuua shambani kwako. Kuna mmoja alipiga dawa shambani kwake kumbe siku hiyo mfugaji kapanga kuingiza mifugo usiku ila kilichotokea ng'ombe 150 walifia palepale
Safi kabisa
 
Pole Mzee
Ilikua haki yako kuzuia wasiingilie kuharibu riziki yako

Ila hawa wafugaji hawajawahi kuwa hata na maeneo maalum.kila mahali wao ni fujo
 
Songea vijijini wamevamia Wasukuma, bas ni full vurugu kwa wenyeji.
Yaan wanajiona wao wako juu ya sheria, na vile wanatoa sana rushwa, hata hawaogopi kabisa

Inaumiza sana.
Ata bukoba maeneo ya bubale kulikuwa na wafugaji kutoka Uganda 'abanyankore/abaima' yaani walikuwa na kiburi. Analisha mifugo yake kwenye shamba lako ukikaa vibaya unapewa na kipigo. Ukimpeleka ofisini za kata anaonga, mkulima unatoka patupu.
 
Back
Top Bottom