Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Hao wamasai huko wanadekezwa sana,piga risasi wote mbwa hao, wanaua mzee wa miaka 80? Kweli?wapigwe risasi au wafukiwe wazima wazimaMkazi wa Kijiji cha Lubungo Kata ya Mikese wilayani Morogoro Mzee Yahaya Yahaya, anayekadiriwa kuwa na Umri wa Miaka 70 hadi 80, ameuawa kwa kucharangwa mapanga na watu wanaodaiwa kuwa ni Wafugaji, wakati akijaribu kuwazuia wasiingize Mifugo shambani kwake, hali iliyosababisha wananchi kugomea kuzika mwili wake hadi watakapopata suluhu ya serikali, kuhusu malalamiko yao dhidi ya changamoto za aina hiyo katika maeneo yao.
Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Lubungo anakiri uwepo wa mfululizo wa matukio ya Wafugaji kuvamia mashamba ya Wakulima, lakini baadhi yao hufanikiwa kupata haki zao baada ya tathmini.
Mnaye mlilia yuko busy na yakeMkazi wa Kijiji cha Lubungo Kata ya Mikese wilayani Morogoro Mzee Yahaya Yahaya, anayekadiriwa kuwa na Umri wa Miaka 70 hadi 80, ameuawa kwa kucharangwa mapanga na watu wanaodaiwa kuwa ni Wafugaji, wakati akijaribu kuwazuia wasiingize Mifugo shambani kwake, hali iliyosababisha wananchi kugomea kuzika mwili wake hadi watakapopata suluhu ya serikali, kuhusu malalamiko yao dhidi ya changamoto za aina hiyo katika maeneo yao.
Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Lubungo anakiri uwepo wa mfululizo wa matukio ya Wafugaji kuvamia mashamba ya Wakulima, lakini baadhi yao hufanikiwa kupata haki zao baada ya tathmini.
Hatari sana!Mkazi wa Kijiji cha Lubungo Kata ya Mikese wilayani Morogoro Mzee Yahaya Yahaya, anayekadiriwa kuwa na Umri wa Miaka 70 hadi 80, ameuawa kwa kucharangwa mapanga na watu wanaodaiwa kuwa ni Wafugaji, wakati akijaribu kuwazuia wasiingize Mifugo shambani kwake, hali iliyosababisha wananchi kugomea kuzika mwili wake hadi watakapopata suluhu ya serikali, kuhusu malalamiko yao dhidi ya changamoto za aina hiyo katika maeneo yao.
Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Lubungo anakiri uwepo wa mfululizo wa matukio ya Wafugaji kuvamia mashamba ya Wakulima, lakini baadhi yao hufanikiwa kupata haki zao baada ya tathmini.
Suruhisho ni kupiga dawa ya kuua shambani kwako. Kuna mmoja alipiga dawa shambani kwake kumbe siku hiyo mfugaji kapanga kuingiza mifugo usiku ila kilichotokea ng'ombe 150 walifia palepaleMkazi wa Kijiji cha Lubungo Kata ya Mikese wilayani Morogoro Mzee Yahaya Yahaya, anayekadiriwa kuwa na Umri wa Miaka 70 hadi 80, ameuawa kwa kucharangwa mapanga na watu wanaodaiwa kuwa ni Wafugaji, wakati akijaribu kuwazuia wasiingize Mifugo shambani kwake, hali iliyosababisha wananchi kugomea kuzika mwili wake hadi watakapopata suluhu ya serikali, kuhusu malalamiko yao dhidi ya changamoto za aina hiyo katika maeneo yao.
Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Lubungo anakiri uwepo wa mfululizo wa matukio ya Wafugaji kuvamia mashamba ya Wakulima, lakini baadhi yao hufanikiwa kupata haki zao baada ya tathmini.
Hadi openersMnaye mlilia yuko busy na yakeView attachment 3279770
Kweli kabisaDawa yao Bunduki hao Masai,piga risasi mmoja alafu ng'ombe nawachinjia hapo hapo shamba watu wagawane nyama.
Safi kabisaSuruhisho ni kupiga dawa ya kuua shambani kwako. Kuna mmoja alipiga dawa shambani kwake kumbe siku hiyo mfugaji kapanga kuingiza mifugo usiku ila kilichotokea ng'ombe 150 walifia palepale
Ata bukoba maeneo ya bubale kulikuwa na wafugaji kutoka Uganda 'abanyankore/abaima' yaani walikuwa na kiburi. Analisha mifugo yake kwenye shamba lako ukikaa vibaya unapewa na kipigo. Ukimpeleka ofisini za kata anaonga, mkulima unatoka patupu.Songea vijijini wamevamia Wasukuma, bas ni full vurugu kwa wenyeji.
Yaan wanajiona wao wako juu ya sheria, na vile wanatoa sana rushwa, hata hawaogopi kabisa
Inaumiza sana.