Morogoro ndio mkoa uliotoa vipaji vingi Tanzania kuliko mikoa mingine.

Mbeya inaongoza kwa dini at the same time pia sifa yake nyengine inasifika kwa uchawi, ubaguzi na unafki

Hii sijui tuuitaje [emoji16]
 
Upo .tanga coastal union pamoja zote na African sports washawahi chukua ligi kuu
 
Naskitika sahivi vibaka na waizi wamekuwa wengi wenye kufanya vitendo viovu hasa mitaa ya Chamwino , Misufini, vibandani , mafiga
 
Haya ndio mambo WaTanzania hii tuliyonayo na ndio maana hakuna kuelimika ni ushabiki ushabiki hata bungeni ni hayo hayo! Hakuna kinachojiri utakuta vijana kijiweni wanamshabikia mfungaji wa magoli hadi ngumu zinatoka Kwa ubishi!
Mmemsikiza Mbunge Musukuma na kiswanglishi yake. Na ndio maana hii CCM ni janga la Taifa hili.
 
Ni coastal union tu ndio wamewah kuchukua,labda ungesema na pan African
Pan African ilikuwa ya Dar, sijawahi kusikia African Sports kuchukua kombe la Ligi kuu Bara.
 
wanafanana na wakwere?
Wakwere, wazaramo na wadoe hawa ni kama vile jamii moja iliyogawanyika kutokana na historia fulani huko nyuma.
Ni kama vile wachaga kuna wamarangu, wakibosho, wamachame nk. Ila wote ni jamii 1 ya kichaga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…