Pre GE2025 Morogoro: Polisi yaonya wanaotaka kuvuruga amani kipindi cha Uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Kamishina wa Jeshi la Polisi anayeshughulikia kamisheni ya operesheni na mafunzo CPA, Awadhi Juma amewaondoa hofu wananchi kuwa jeshi hilo litaendelea kuhakikisha usalama, amani na utulivu vinaendelea kuimarishwa sasa, wakati na baada ya uchaguzi na kamwe hawatakuwa na muhali na mtu yeyote atakayejaribu kuharibu uchaguzi.

1741342423644.png

Kamishna Awadhi alisema hayo wakati akihitimisha mafunzo ya miezi mitatu kwa askari 1,074 juu ya uongozi mdogo wa ngazi ya Sajini taji (sajenti na staff sajenti) katika chuo cha maofisa wa Polisi Tanzania cha Kidatu, kilichopo wilayani Kilombero Mkoani Morogoro.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Akasema kwa sasa hali ya nchi ni shwari, tulivu na usalama umeendelea kutamalaki kwa sababu Jeshi hilo lipo na kwamba wataendelea kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama kuhakikisha hali hiyo inaendelea kuwepo sambamba na kutoa wito kwa wananchi kuwafichua watu wachache watakaojaribu kuhatarisha amani na usalama wa nchi.

"Tumejipanga vizuri kwenye hili,tutashughulika na watu wa hovyo hovyo wanaodhani wanaweza kufanya vinginevyo, blabla (maneno maneno) mnazozisikia zisiwanyime usingizi,uchaguzi utafanyika kwa amani na utulivu mkubwa" alisema kiongozi huyo mwenye dhamana ya operesheni na mafunzo kwa Jeshi la Polisi.

Chanzo: Nipashe
 
Hivi ni kwanini CDM mmemchelewesha hivi huyu Awadhi? Lissu huna muda wa kumshtaki tena eti eh? Mihemko inaua chama! Ukiwa na mihemko huwezi kuplan sawa sawa!.
 
Kwani nani kasema anataka uchaguzi? Uchaguzi ambao baadaye inageuka vita kuzalisha vilema na yatima wa nini
 
HAKUNA HOFU YOYOTE, JESHI LIPO IMARA SANA, SELO ZA KUTOSHA ZIPO, MABOMU YA PILIPILI YAPO KWA WALE WAKAHIDI WA KUTOFUATA SHERIA ZETU, TULIZOZITUNGA WENYEWE KWA BUNGE LETU, NAMNA YA KUSHUGHULIKA NA WATUKUTU IPO, TABU IPO WAPI?
Kuna shubiri na asali, utachagua roho yako itapenda kulamba kipi?
 
Kamishina wa Jeshi la Polisi anayeshughulikia kamisheni ya operesheni na mafunzo CPA, Awadhi Juma amewaondoa hofu wananchi kuwa jeshi hilo litaendelea kuhakikisha usalama, amani na utulivu vinaendelea kuimarishwa sasa, wakati na baada ya uchaguzi na kamwe hawatakuwa na muhali na mtu yeyote atakayejaribu kuharibu uchaguzi.

Kamishna Awadhi alisema hayo wakati akihitimisha mafunzo ya miezi mitatu kwa askari 1,074 juu ya uongozi mdogo wa ngazi ya Sajini taji (sajenti na staff sajenti) katika chuo cha maofisa wa Polisi Tanzania cha Kidatu, kilichopo wilayani Kilombero Mkoani Morogoro.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Akasema kwa sasa hali ya nchi ni shwari, tulivu na usalama umeendelea kutamalaki kwa sababu Jeshi hilo lipo na kwamba wataendelea kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama kuhakikisha hali hiyo inaendelea kuwepo sambamba na kutoa wito kwa wananchi kuwafichua watu wachache watakaojaribu kuhatarisha amani na usalama wa nchi.

"Tumejipanga vizuri kwenye hili,tutashughulika na watu wa hovyo hovyo wanaodhani wanaweza kufanya vinginevyo, blabla (maneno maneno) mnazozisikia zisiwanyime usingizi,uchaguzi utafanyika kwa amani na utulivu mkubwa" alisema kiongozi huyo mwenye dhamana ya operesheni na mafunzo kwa Jeshi la Polisi.

Chanzo: Nipashe
Lissu anataka handshake Kama Raila huko Kenya!!

Afrika hajatokea mwanasiasa wa kwenda kufa barabarani kwaajili yake!! Those are greedy than Hyenas!!
 
Attachments

  • v09044g40000cv5domvog65nlld1n170.mp4
    1.7 MB
  • export_1741352414113.mov
    5.9 MB
  • v09044g40000cv5dk4fog65noc1023jg.mp4
    7.5 MB
Kamishina wa Jeshi la Polisi anayeshughulikia kamisheni ya operesheni na mafunzo CPA, Awadhi Juma amewaondoa hofu wananchi kuwa jeshi hilo litaendelea kuhakikisha usalama, amani na utulivu vinaendelea kuimarishwa sasa, wakati na baada ya uchaguzi na kamwe hawatakuwa na muhali na mtu yeyote atakayejaribu kuharibu uchaguzi.

Kamishna Awadhi alisema hayo wakati akihitimisha mafunzo ya miezi mitatu kwa askari 1,074 juu ya uongozi mdogo wa ngazi ya Sajini taji (sajenti na staff sajenti) katika chuo cha maofisa wa Polisi Tanzania cha Kidatu, kilichopo wilayani Kilombero Mkoani Morogoro.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Akasema kwa sasa hali ya nchi ni shwari, tulivu na usalama umeendelea kutamalaki kwa sababu Jeshi hilo lipo na kwamba wataendelea kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama kuhakikisha hali hiyo inaendelea kuwepo sambamba na kutoa wito kwa wananchi kuwafichua watu wachache watakaojaribu kuhatarisha amani na usalama wa nchi.

"Tumejipanga vizuri kwenye hili,tutashughulika na watu wa hovyo hovyo wanaodhani wanaweza kufanya vinginevyo, blabla (maneno maneno) mnazozisikia zisiwanyime usingizi,uchaguzi utafanyika kwa amani na utulivu mkubwa" alisema kiongozi huyo mwenye dhamana ya operesheni na mafunzo kwa Jeshi la Polisi.

Chanzo: Nipashe
yaleyale ya mwendazake, kama wanawashwawashwa waende drc kuwatuliza M23
 
Huu ni ukoloni sasa, watu wachague viongozi wao kwa uhuru na haki,baadhi ya polisi ambao probably ni wanufaika wa mfumo uliopo,wanatumia vibaya mamlaka yao.Lissu,Dr.Slaa na wengine wakomae waone namna ya kulikomboa taifa.
 
Uchaguzi utafanyikia wapi?hakuna uchaguzi,Ye mwenyewe mtu wa hovyo
 
Huyu si ndiye yule wa kesi ya mbowe ambaye haijui PGO?
 
Kamishina wa Jeshi la Polisi anayeshughulikia kamisheni ya operesheni na mafunzo CPA, Awadhi Juma amewaondoa hofu wananchi kuwa jeshi hilo litaendelea kuhakikisha usalama, amani na utulivu vinaendelea kuimarishwa sasa, wakati na baada ya uchaguzi na kamwe hawatakuwa na muhali na mtu yeyote atakayejaribu kuharibu uchaguzi.

Kamishna Awadhi alisema hayo wakati akihitimisha mafunzo ya miezi mitatu kwa askari 1,074 juu ya uongozi mdogo wa ngazi ya Sajini taji (sajenti na staff sajenti) katika chuo cha maofisa wa Polisi Tanzania cha Kidatu, kilichopo wilayani Kilombero Mkoani Morogoro.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Akasema kwa sasa hali ya nchi ni shwari, tulivu na usalama umeendelea kutamalaki kwa sababu Jeshi hilo lipo na kwamba wataendelea kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama kuhakikisha hali hiyo inaendelea kuwepo sambamba na kutoa wito kwa wananchi kuwafichua watu wachache watakaojaribu kuhatarisha amani na usalama wa nchi.

"Tumejipanga vizuri kwenye hili,tutashughulika na watu wa hovyo hovyo wanaodhani wanaweza kufanya vinginevyo, blabla (maneno maneno) mnazozisikia zisiwanyime usingizi,uchaguzi utafanyika kwa amani na utulivu mkubwa" alisema kiongozi huyo mwenye dhamana ya operesheni na mafunzo kwa Jeshi la Polisi.

Chanzo: Nipashe

Bila shaka huyo kamanda atakuwa na tatizo kichwani!!

Ni usalama gani wanawahakikishia wananchi wakati watu wanatekwa, watu wanapotezwa na wengine wanauawa na watekaji?

Damu za watu bila shaka zimewaondolea akili, hata ile ya kudanganyia.
 
Huyu kweli kichaa!! Yaani muuaji anawahakikishia watu amani!!
 
Kamishina wa Jeshi la Polisi anayeshughulikia kamisheni ya operesheni na mafunzo CPA, Awadhi Juma amewaondoa hofu wananchi kuwa jeshi hilo litaendelea kuhakikisha usalama, amani na utulivu vinaendelea kuimarishwa sasa, wakati na baada ya uchaguzi na kamwe hawatakuwa na muhali na mtu yeyote atakayejaribu kuharibu uchaguzi.

Kamishna Awadhi alisema hayo wakati akihitimisha mafunzo ya miezi mitatu kwa askari 1,074 juu ya uongozi mdogo wa ngazi ya Sajini taji (sajenti na staff sajenti) katika chuo cha maofisa wa Polisi Tanzania cha Kidatu, kilichopo wilayani Kilombero Mkoani Morogoro.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Akasema kwa sasa hali ya nchi ni shwari, tulivu na usalama umeendelea kutamalaki kwa sababu Jeshi hilo lipo na kwamba wataendelea kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama kuhakikisha hali hiyo inaendelea kuwepo sambamba na kutoa wito kwa wananchi kuwafichua watu wachache watakaojaribu kuhatarisha amani na usalama wa nchi.

"Tumejipanga vizuri kwenye hili,tutashughulika na watu wa hovyo hovyo wanaodhani wanaweza kufanya vinginevyo, blabla (maneno maneno) mnazozisikia zisiwanyime usingizi,uchaguzi utafanyika kwa amani na utulivu mkubwa" alisema kiongozi huyo mwenye dhamana ya operesheni na mafunzo kwa Jeshi la Polisi.

Chanzo: Nipashe
Polisi ndiyo wenye nchi , CCM ni kibaraka wao tu
 
wajinga kweli watu wa hivi
polisi itawalazimisha wananchi washiriki uchaguzi?
au wao polisi ndio watapiga kura?
 
Back
Top Bottom