Morogoro: RTO Tafadhali Shughulikia Trela Lililotelekezwa Mbugani Mikumi Bila Alama Zozote za Tahadhari

mwaka fulani ivi nakumbuka kulikuwa na wanamuziki walogongaga lori lililokuwa limesimama maeneo ya mikumi na wengi waliangamia
Kweli mkuu, ile sehemu madereva wanajiachia sana usiku
 
Unafikiri hawajaliona hilo trekta,basi tu...

Kiukweli ni kama limetegeshwa kwa dhamira fulani, mtu mwenye akili timamu angeweka hata alama kuwa alert watumiaji wa barabara
 
Mungu awalaze pema peponi

Wengi wanapoteza maisha kwa uzembe wa watu wachache tu
 
Hairuhusiwi kupiga picha ndani ya mbuga za wanyama bila idhini ya maliasili.
 
Kapicha mkuu
 
Habari KAVU MNO

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…