Unafikiri hawajaliona hilo trekta,basi tu...RTO nadhani ujumbe utamfikia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unafikiri hawajaliona hilo trekta,basi tu...RTO nadhani ujumbe utamfikia
Mungu awalaze pema peponiHao walikuwa wanamuziki wa bendi ya Taarabu Five stars waliokufa katika ajali ya Gari Mikumi wakitoka kutumbuiza na wakiwahi Kuja Kutumbuiza Dar na waliokufa ni Issa Kijoti, Nasoro Madenge, Mapande, Fembe Juma, Omary Hashim, Tizo ,Omari Tall, Ngeleza Hasan, Hamisa Omari, Maimuna , Haji Msanii na mcheza show wa kundi la Kitu Tigo Ilala. Na wengine wengi.
KITU TIGO enzi hizo😥
Usinikumbushe "" MCHUMU MWAAA"""mwaka fulani ivi nakumbuka kulikuwa na wanamuziki walogongaga lori lililokuwa limesimama maeneo ya mikumi na wengi waliangamia
Kapicha mkuuNapenda kumtaarifu RTO wa Morogoro kuwa kuna trela la semi limetelekezwa tangu Jumamosi last week mpaka jana usiku mbugani mikumi kama kilomita 15 kutoka mjini, trela hilo halina alama zozote za tahadhari, halina reflective stickers wala triangle, tumepita hapo jana majira ya saa 2 na bus nusura tujigonge as mbele yetu kulikuwa na lori linakuja taa zikiwa full light
Yawezekana tukawa wachache kati ya wengi walionusurika kujibamiza kwenye hilo trela
Nawasilisha
Kwa Nini umejiita mjinga??Mikumi kuna walinzi wa asili pale.
Ingekuwa sehemu ya kawaida wangeiba matairi
Sawa boss
Wewe ndiye unayemuita, watu huwa hatujiiti tunaitwa.Kwa Nini umejiita mjinga??
HahhaahahhWewe ndiye unayemuita, watu huwa hatujiiti tunaitwa.
Habari KAVU MNONapenda kumtaarifu RTO wa Morogoro kuwa kuna trela la semi limetelekezwa tangu Jumamosi last week mpaka jana usiku mbugani mikumi kama kilomita 15 kutoka mjini, trela hilo halina alama zozote za tahadhari, halina reflective stickers wala triangle, tumepita hapo jana majira ya saa 2 na bus nusura tujigonge as mbele yetu kulikuwa na lori linakuja taa zikiwa full light
Yawezekana tukawa wachache kati ya wengi walionusurika kujibamiza kwenye hilo trela
Nawasilisha