Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Kama haina dini basi iruhusu watu kukashifu imani ya wengine?Ni lini Serikali imekuwa na Dini?
Selemani kakashifu Dini?Kama haina dini basi iruhusu watu kukashifu imani ya wengine?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sisi kama jeshi la polisi tunamhoji mhusika kuhusu bangi alizozitaja. Hilo la Mungu bado hatuna ushahid wa kutosha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu iyo avatar picha yako jiwe kanyoa 'pushbeck'Itakuwa wamemuweka ndani ili wamuepushe na wanadamu wenye hasira.
Ingekua logic ni hiyo ingekua watuhumiwa wakifika mahakamani wanaomba msamaha halafu jaji anasema 'Kwakua Mungu anasamehe basi mtuhumiwa anaachiwa huru'Alishaomba radhi asee,tena ameomba msamaha vizuri sana.
Amesema alipokea taarifa ya kifo cha JPM kwa mshtuko akachanganyikiwa na kuanza kuropoko.
Kama Mungu anasemehe sisi wanadamu ni wakina nani tusisamee?
Ngoja nione kesi itakuwajeYan kakamatwa kwa kosa la kumlaumu mungu.
Sheria za nchi hazitambui msamaha wa Mungu. La si hivyo watuhumiwa wote ambao wameokoka baada ya kushtakiwa wangekuwa nje.Alishaomba radhi asee,tena ameomba msamaha vizuri sana.
Amesema alipokea taarifa ya kifo cha JPM kwa mshtuko akachanganyikiwa na kuanza kuropoko.
Kama Mungu anasemehe sisi wanadamu ni wakina nani tusisamee?
Ua mtu halafu uone kama kukamatwa kwako kutasubiria kwanza mlalamikaji ajitokeze.Hana kesi yoyote mpaka mlalamikiwa ajitokeze.