Morogoro: Selemani Msindi (Afande Sele) adakwa na kulazwa Korokoroni, mdomo wake wamponza

Morogoro: Selemani Msindi (Afande Sele) adakwa na kulazwa Korokoroni, mdomo wake wamponza

Wamtulize kwanza. Mpaka msiba uishe.
Uenda akamuona MUNGU
 
Polisi ni mahali pa usalama muacheni kwanza apumzishe akili mpaka msiba uishe.
Alishaomba radhi asee,tena ameomba msamaha vizuri sana.
Amesema alipokea taarifa ya kifo cha JPM kwa mshtuko akachanganyikiwa na kuanza kuropoko.
Kama Mungu anasemehe sisi wanadamu ni wakina nani tusisamee?
 
Mimi naona hapo afande wanamuonea tu, serikali ingemuweka nguvuni endapo Kama angetoa matusi hayo kwa dini/dhehebu flani.

Ila kwa case ya yeye na Mungu Basi wangemuacha akamalizana na Mungu tu, Mambo Mengine yanamhusu mtu mwenyewe na Mungu Basi..

"Ya Mungu mpe Mungu ya kaisali mpe kaisali" jesus
 
Mimi naona hapo afande wanamuonea tu, serikali ingemuweka nguvuni endapo Kama angetoa matusi hayo kwa dini/dhehebu flani..
Kosa ni kutoa matusi ya nguoni!! Kwa nani? hilo kwao halijalishi sana...!!!
 
Back
Top Bottom