Morogoro to Makutupora SGR.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hapa kazi tu!!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Watapata tabu sana.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Makutupora ipo DodomaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hii sasa ni sifa, nasikia kabla mwaka haujaisha kipande kingine kitaanza na supplier wa nyoka wa ardhini atajulikana na kupewa kazi
 
Ushamba tu unawasumbua, huko Afrika kusini makaburu walijenga mareli ya kisasa na maflyovers lakini walipingwa kwa sababu ya matendo yao ya kutokujali haki za wenyeji, hivyo hii serikali ya ccm haina tofauti na hao makaburu wa SA maana leo hii magofool mmemfanya mungu mtu asiyekosoleka, na ukimkosoa utakiona cha mtema kuni
 
Duh. Hili sasa ni povu. leo hii unaanza kushabikia makaburu!!!? Nadhani vijana mnamapatizo ya kijinga sasa. We need to take care of you kwenye mitandao.
 
Kusema ccm na Makaburu wote sawa unaona sifa et
 
Kijana mimi sibishani na wajinga kama wewe. Unatakiwa kutumia common senses. We are building our country siyo nchi ya jirani.
Usiwe mjinga wa kuanza kutukana na kubeza maendeleo ya nyumbani kwenu. Labda kijana wewe siyo mtanzania.
Kama wewe ni mtanzania basi unamatatizo ya kiakili itabidi umuone daktari.

Ni upumbavu wa hali ya juu, kijana umejiunga 2016 kila siku kutoa maneno ya kijinga tu kama haya.
Jifunze siasa maana yake. Vitu vingine siyo vya kuiga. Usidhani ukiwa kwenye mitandao watu hawakujui.
 
Mimi mtu akiwa mfuasi wa ccm huwa simtofautishi na ibilisi kwa matendo yake

Maendeleo ya kwanza kwa mwanadamu ni uhuru wake wa kuishi na siyo reli kama ambavyo unataka kuaminisha wajinga wenzio hapo Lumumba fc

Mkoloni wa Tanganyika alijenga hospital, shule, majosho na huduma zao za kijamii kama hospital na mashule yalikuwa bora kabisa na bure, siyo leo hii hospital ni majengo tu lakini dawa hakuna, hii elimu bure ya sasa ni kichefu chefu, mwanafunzi anamaliza fm4 hana ufahamu wowote, hivyo mkoloni hakuondoka kwa sababu hakuwa analeta Maendeleo

Haki za raia ni muhimu kuliko hata hiyo reli yako, lakini kwa sababu wewe na ccm wenzio mliotayari kuua kwa wenye fikra kinzani na zenu ili tu kudumisha madaraka huwezi kujua neno linaitwa haki
 
Kuwa kwenye mitandao ndio unataka niabudu hata ujinga kama ulivyo wewe msiojua nini cha kupinga na nini cha kuunga mkono?!
 
Mimi mtu akiwa mfuasi wa ccm huwa simtofautishi na ibilisi kwa matendo yake

Maendeleo ya kwanza kwa mwanadamu ni uhuru wake wa kuishi na siyo reli kama ambavyo unataka kuaminisha wajinga wenzio hapo Lumumba fc

Mkoloni wa Tanganyika alijenga hospital, shule, majosho na huduma zao za kijamii kama hospital na mashule yalikuwa bora kabisa na bure, siyo leo hii hospital ni majengo tu lakini dawa hakuna, hii elimu bure ya sasa ni kichefu chefu, mwanafunzi anamaliza fm4 hana ufahamu wowote, hivyo mkoloni hakuondoka kwa sababu hakuwa analeta Maendeleo

Haki za raia ni muhimu kuliko hata hiyo reli yako, lakini kwa sababu wewe na ccm wenzio mliotayari kuua kwa wenye fikra kinzani na zenu ili tu kudumisha madaraka huwezi kujua neno linaitwa haki
Okay sasa twende kisiasa siasa sasa ninakukaribisha.
1. Uhuru pasipo miiko ni wendawazimu na ujuha.
2. Uhuru pasipo utaratibu ni kama wanyama wanaotembea uchi.

Hakuna nchi duniani isiyo na utaratibu. Kwa mujibu wa katiba ya Tanzania uhuru wako binafsi usivunje uhuru wa wengine.
Uhuru wa kutoa matusi, uhuru wa kutukana wakubwa zako, uhuru wa kuharibu mali za umma hauwezi ukakubalika hata siku moja.

kijana mwenye umri kama wako kutafuta uhuru ambapo vijana wengi nchi zingine wanalilia kuja kuishi Tanzania.
Uhuru unaoutafuta wa maisha yako binafsi hautaupata mpaka unafukiwa kaburini. Utaishia kuwachukia watu wengine na uwezo wa kuwafanya chochote huna. Maana sheria zipo ukienda kinyume na sheria unachukuliwa hatua.

Tanzania ni nchi huru haiigiliwi na nchi nyingine. Tunafuata katiba na sheria zetu. Sheria za Kenya ni kwa ajili ya wakenya, Sheria za ulaya ni kwaajili ya watu wa ulaya. Uhuru wa kihuni unaoutaka hutaupata.

Ndio maana hata hapa JF kuna taratibu zake. Ukienda kinyume na taratibu unachukuliwa hatua. Usitake keleta mada za kitoto hapa. Njoo na mada fikirishi zenya maana.
Wewe umeamua kuwa mpinzani wa Serikali yetu, basi endelea kuwa mpinzani ni haki yako. Lakini usitake uhuru wako binafsi.
 
Ushamba tu unawasumbua, huko Afrika kusini makaburu walijenga mareli ya kisasa na maflyovers lakini walipingwa kwa sababu ya matendo yao ya kutokujali haki za wenyeji, hivyo hii serikali ya ccm haina tofauti na hao makaburu wa SA maana leo hii magofool mmemfanya mungu mtu asiyekosoleka, na ukimkosoa utakiona cha mtema kuni
Reli ya kisasa ni SGR, South Africa imejaa narrow gauge. Hii inayojengwa hapa ni electric SGR na its arguably the best in Africa na inajengwa at a fair price baada ya deal lilo nuka ufisadi kukataliwa. Wewe kupinga hili swala unakua huna tofauti na mtu ambae anasifia kila kitu. Kupinga kila kitu ni ujinga pia kusifia kila kitu ni upungufu wa kufikiri. Kumbuka hamna mtu aliyekamilika na hamna serikali itakayo ingia madarakani ikakufurahisha kwa asilimia mia na kumfurahisha kila mtu.
 
Back
Top Bottom