Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ManyoniMakutupora ipo Dodoma[emoji23][emoji23][emoji23]
Duh. Hili sasa ni povu. leo hii unaanza kushabikia makaburu!!!? Nadhani vijana mnamapatizo ya kijinga sasa. We need to take care of you kwenye mitandao.Ushamba tu unawasumbua, huko Afrika kusini makaburu walijenga mareli ya kisasa na maflyovers lakini walipingwa kwa sababu ya matendo yao ya kutokujali haki za wenyeji, hivyo hii serikali ya ccm haina tofauti na hao makaburu wa SA maana leo hii magofool mmemfanya mungu mtu asiyekosoleka, na ukimkosoa utakiona cha mtema kuni
Safari huanza na hatua.Tumeona
Bado safari ndefu.
Kusema ccm na Makaburu wote sawa unaona sifa etDuh. Hili sasa ni povu. leo hii unaanza kushabikia makaburu!!!? Nadhani vijana mnamapatizo ya kijinga sasa. We need to take care of you kwenye mitandao.
Kijana mimi sibishani na wajinga kama wewe. Unatakiwa kutumia common senses. We are building our country siyo nchi ya jirani.Kusema ccm na Makaburu wote sawa unaona sifa et
Mimi mtu akiwa mfuasi wa ccm huwa simtofautishi na ibilisi kwa matendo yakeKijana mimi sibishani na wajinga kama wewe. Unatakiwa kutumia common senses. We are building our country siyo nchi ya jirani.
Usiwe mjinga wa kuanza kutukana na kubeza maendeleo ya nyumbani kwenu. Labda kijana wewe siyo mtanzania.
Kama wewe ni mtanzania basi unamatatizo ya kiakili itabidi umuone daktari.
Ni upumbavu wa hali ya juu, kijana umejiunga 2016 kila siku kutoa maneno ya kijinga tu kama haya.
Jifunze siasa maana yake. Vitu vingine siyo vya kuiga. Usidhani ukiwa kwenye mitandao watu hawakujui.
Kuwa kwenye mitandao ndio unataka niabudu hata ujinga kama ulivyo wewe msiojua nini cha kupinga na nini cha kuunga mkono?!Kijana mimi sibishani na wajinga kama wewe. Unatakiwa kutumia common senses. We are building our country siyo nchi ya jirani.
Usiwe mjinga wa kuanza kutukana na kubeza maendeleo ya nyumbani kwenu. Labda kijana wewe siyo mtanzania.
Kama wewe ni mtanzania basi unamatatizo ya kiakili itabidi umuone daktari.
Ni upumbavu wa hali ya juu, kijana umejiunga 2016 kila siku kutoa maneno ya kijinga tu kama haya.
Jifunze siasa maana yake. Vitu vingine siyo vya kuiga. Usidhani ukiwa kwenye mitandao watu hawakujui.
Okay sasa twende kisiasa siasa sasa ninakukaribisha.Mimi mtu akiwa mfuasi wa ccm huwa simtofautishi na ibilisi kwa matendo yake
Maendeleo ya kwanza kwa mwanadamu ni uhuru wake wa kuishi na siyo reli kama ambavyo unataka kuaminisha wajinga wenzio hapo Lumumba fc
Mkoloni wa Tanganyika alijenga hospital, shule, majosho na huduma zao za kijamii kama hospital na mashule yalikuwa bora kabisa na bure, siyo leo hii hospital ni majengo tu lakini dawa hakuna, hii elimu bure ya sasa ni kichefu chefu, mwanafunzi anamaliza fm4 hana ufahamu wowote, hivyo mkoloni hakuondoka kwa sababu hakuwa analeta Maendeleo
Haki za raia ni muhimu kuliko hata hiyo reli yako, lakini kwa sababu wewe na ccm wenzio mliotayari kuua kwa wenye fikra kinzani na zenu ili tu kudumisha madaraka huwezi kujua neno linaitwa haki
Yamekuwa hayo tena!!?Naona jamaa wa Congo unajilazimisha kwenye nchi ya wenyewe
Hili huwa tunaita povu. Jitahidi tena.Hii video ni ya zamani inakuwa recycled by CCM propagandists.
Reli ya kisasa ni SGR, South Africa imejaa narrow gauge. Hii inayojengwa hapa ni electric SGR na its arguably the best in Africa na inajengwa at a fair price baada ya deal lilo nuka ufisadi kukataliwa. Wewe kupinga hili swala unakua huna tofauti na mtu ambae anasifia kila kitu. Kupinga kila kitu ni ujinga pia kusifia kila kitu ni upungufu wa kufikiri. Kumbuka hamna mtu aliyekamilika na hamna serikali itakayo ingia madarakani ikakufurahisha kwa asilimia mia na kumfurahisha kila mtu.Ushamba tu unawasumbua, huko Afrika kusini makaburu walijenga mareli ya kisasa na maflyovers lakini walipingwa kwa sababu ya matendo yao ya kutokujali haki za wenyeji, hivyo hii serikali ya ccm haina tofauti na hao makaburu wa SA maana leo hii magofool mmemfanya mungu mtu asiyekosoleka, na ukimkosoa utakiona cha mtema kuni