Morogoro: Treni ya SGR (Dar-Dodoma) yakwama Kidete Kilosa kwa zaidi ya saa 4, sababu Hitilafu ya Umeme

Morogoro: Treni ya SGR (Dar-Dodoma) yakwama Kidete Kilosa kwa zaidi ya saa 4, sababu Hitilafu ya Umeme

Watanzania hatuwezi kuendesha mabasi ya mjini, tutaweza train ya kisasa?

Bado hatujafikia kiwango hicho. Adui yetu mkuu ni ujinga.

Naanza kuionea huruma ATC, nadhani huko kuna madudu mengi sana lakini yanafichwa.
Shikamoo Bibi, umesahau kubadili ID. Umetumia Id yako ya kusifia, kuponda. Logout ubadilishe ID



Mjukuu.
 

Attachments

  • IMG_20240731_005554.jpg
    IMG_20240731_005554.jpg
    142.4 KB · Views: 2
Nchi ngumu sana hii, watakuambia ni changamoto za kawaida tu, tuwavumilie. Ujinga haujawahi kutuisha. Bado hujuma hazijaanza hapo. Yajayo yanasikitisha sana, BRT imewashinda, ije kuwa SGR TRAIN..
 
Back
Top Bottom