Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Ni sehemu ya utalii wa ndani, injini za mitumba zinachangamoto zake japo Chadema wanaweza kuhusishwa.Trein ya SGR imekwama Porini Karibu na kidete na Mpaka sasa ni saa Saba usiku treni ya SGR imekwama njiani Kidete, mabehewa yafunguliwa milango watu wapumue.
View attachment 3057210View attachment 3057212View attachment 3057211View attachment 3057211View attachment 3057213
Umeme umekata na hakuna secondary source. Hii aibu kwa jinsi tunavyojitanaibisha kuwa ni tren ya kisasa ya umemeTrein ya SGR imekwama Porini Karibu na kidete na Mpaka sasa ni saa Saba usiku treni ya SGR imekwama njiani Kidete, mabehewa yafunguliwa milango watu wapumue.
View attachment 3057210View attachment 3057212View attachment 3057211View attachment 3057211View attachment 3057213
Changamoto ni jambo la kawaida, iwe umeme au changamoto za train yenyewe.
Tusiwe wepesi kuponda au kuzodoa, hakuna kitu kimefanikiwa undwa kwa ufanisi wa 100%
Pole kwa abiria wote waliokwama.
Hayanaga pawa benki!?Kumeanza kuchangamka, Tanesco watakua wamefanya yao.
Acha tulifaidi mapema, sio mda mrefu litakua kama mwendokasiHili tulilitegemea tu! tofauti ni kwamba limeanza mapema mno
Jamani tusicheke 😉 ndio maana tunataka waeleze nini kimetokea, kutoa taarifa sahihi ndio rahisi kupata dawa. Nakumbuka toka siku ya kwanza nilitoa ombi kazi ya operation watafute mbia aendeshe kama private kujitegemea ili kulete ufanisi. Na serikali kuchukua % kubwa ya mapato ili gharama zirudi lakini kuwapa TRC kama wafanyakazi wa serikali tutasubiri siku ya kuzika tu kama Reli ya kati na Tazara.Au umeme uliisha?