Hii ni hatari kiinglishState sponserd. surbotage which will eventually fail.
Nashauri hata Tundu Lissu ajivue uanachama ili kkuthibitisha miujiza anayotenda mtukufu mheshimiwa rais daktari profesa SSH kkkkk.Wakuu,
Lile wimbi la wanachama wa CHADEMA kujivua uanachama linaendelea
Siku ya leo Viongozi wa Chadema Mkoa Morogoro wilaya, Majimbo, Kata na Matawi wakiongozwa na aliyekuwa Mbunge wa Mlimba Suzan Kiwanga wamejivua uanachama wa CHADEMA.
Wakizungumza kwenye mkutano waliofanya na waandishi wa habari, wanachama hao walitaja sababu mbalimbali za kufanya uamuzi huo ikiwemo chama hicho kukosa muelekeo pamoja na kutoka kwenye malengo na misingi yake
Japo umeboronga kwenye spellings ila tumelazimika kukuelewa hivyo hivyo kamanda🤭😂.State sponserd. surbotage which will eventually fail.
ngoma inogile chadema dahWakuu,
Lile wimbi la wanachama wa CHADEMA kujivua uanachama linaendelea
Siku ya leo Viongozi wa Chadema Mkoa Morogoro wilaya, Majimbo, Kata na Matawi wakiongozwa na aliyekuwa Mbunge wa Mlimba Suzan Kiwanga wamejivua uanachama wa CHADEMA.
Wakizungumza kwenye mkutano waliofanya na waandishi wa habari, wanachama hao walitaja sababu mbalimbali za kufanya uamuzi huo ikiwemo chama hicho kukosa muelekeo pamoja na kutoka kwenye malengo na misingi yake
Ukihoji unaambiwa wewe timu kushindwa.Hatari sanaWakuu,
Lile wimbi la wanachama wa CHADEMA kujivua uanachama linaendelea
Siku ya leo Viongozi wa Chadema Mkoa Morogoro wilaya, Majimbo, Kata na Matawi wakiongozwa na aliyekuwa Mbunge wa Mlimba Suzan Kiwanga wamejivua uanachama wa CHADEMA.
Wakizungumza kwenye mkutano waliofanya na waandishi wa habari, wanachama hao walitaja sababu mbalimbali za kufanya uamuzi huo ikiwemo chama hicho kukosa muelekeo pamoja na kutoka kwenye malengo na misingi yake
Hizo ni akili mfu na udhaifu wa uongozi. Shughulikieni matatizo yanayofanya hao watu waondoke badala ya kujificha kwenye kichaka cha kuona wanafadhiliwa. Watu wako kwenye chama kwa takribani miaka 20 ikiwa pamoja na ile miaka ya moto ya Magufuli lakini hawakutoka. Leo wanatoka mnawaona wamepewa hela, noo.State sponserd. sabotage which will eventually fail.
WaondokeeeWakuu,
Lile wimbi la wanachama wa CHADEMA kujivua uanachama linaendelea
Siku ya leo Viongozi wa Chadema Mkoa Morogoro wilaya, Majimbo, Kata na Matawi wakiongozwa na aliyekuwa Mbunge wa Mlimba Suzan Kiwanga wamejivua uanachama wa CHADEMA.
Wakizungumza kwenye mkutano waliofanya na waandishi wa habari, wanachama hao walitaja sababu mbalimbali za kufanya uamuzi huo ikiwemo chama hicho kukosa muelekeo pamoja na kutoka kwenye malengo na misingi yake
KimekuchaWakuu,