ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Wakuu,
Lile wimbi la wanachama wa CHADEMA kujivua uanachama linaendelea
Siku ya leo Viongozi wa Chadema Mkoa Morogoro wilaya, Majimbo, Kata na Matawi wakiongozwa na aliyekuwa Mbunge wa Mlimba Suzan Kiwanga wamejivua uanachama wa CHADEMA.
Wakizungumza kwenye mkutano waliofanya na waandishi wa habari, wanachama hao walitaja sababu mbalimbali za kufanya uamuzi huo ikiwemo chama hicho kukosa muelekeo pamoja na kutoka kwenye malengo na misingi yake
View: https://www.instagram.com/p/DJmcBTCsVMH/?igsh=dXh2YXV1N2MxY3Fj
😁😁😁😁🤣🤣🤣🤣🤣😁