ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Wakuu,
Lile wimbi la wanachama wa CHADEMA kujivua uanachama linaendelea
Siku ya leo Viongozi wa Chadema Mkoa Morogoro wilaya, Majimbo, Kata na Matawi wakiongozwa na aliyekuwa Mbunge wa Mlimba Suzan Kiwanga wamejivua uanachama wa CHADEMA.
Wakizungumza kwenye mkutano waliofanya na waandishi wa habari, wanachama hao walitaja sababu mbalimbali za kufanya uamuzi huo ikiwemo chama hicho kukosa muelekeo pamoja na kutoka kwenye malengo na misingi yake
Ni furaha kwenu CCM hongereni sana.a Inauma sana..... Chama kinakufa, kukabidhi chama cha chadema kqq watu wa hovyo kunakiua
Mwenzako kapewa Tsh 100M na Ubunge wa bure!! wewe pamoja na umalaya na uchawa hutakaa upate hela hiyo
Mimi nikipewa buku 7 inatosha ila nitawanyoosha nyumbu wote.Mwenzako kapewa Tsh 100M na Ubunge wa bure!! wewe pamoja na umalaya na uchawa hutakaa upate hela hiyo
Mwalimu andika kwa kiswahili tu lugha ya mabeberu naona unakushinda!State sponserd. sabotage which will eventually fail.
Ndo akili za chadema zilipofikia katika kushughulikiwa matatizo yao. Huyu ndo think tank kuu humu jf, ukiacha Wal wazee watatu wanaokuja na threads Kila siku.State sponserd. sabotage which will eventually fail.
Kamanda wa chadema chakavu, shikamoo sana.Wazungu ni watu smart sana, kama viongozi wa Chama hawaikubali uongozi wanajiuzulu ila wanabaki kuwa wanachama kwani uongozi unapita watarudi kwenye utekelezaji wa Sera za Chama.
Hao viongozi waliojiondoa Chadema kwa sababu uchwara ukiwafuatilia baadae unashangaa kumbe walipewa empty hope.
Unajitekenya na kuchekaInauma sana..... Chama kinakufa, kukabidhi chama cha chadema kqq watu wa hovyo kunakiua
Chawa upo? Hangaikia tumbo lako tu, haya mambo ya kukomboa nchi huyawezi wewe nesiKamanda wa chadema chakavu, shikamoo sana.
1. Inaonekana unawajua sana wazungu ee?!!! Namaanisha Hadi wale wa ndani ndani huko ukiacha hawa kina trump na viongozi wengine kadhaa ambao habari zao zinaandikika Hadi kutufikia Huku.
2. Unaifahamu kuwa lissu alikuwa NCCR Mageuzi?!!!
Usiku mwema kamanda wa ukweli.
Hujaitikia shikamoo lakini. Au ndo upo busy na ukombozi wa nchi kupitia lissu na heche?!!!Chawa upo? Hangaikia tumbo lako tu, haya mambo ya kukomboa nchi huyawezi wewe nesi
Hujamsikia lema,Heche na Mnyika wakiwaongelea mkutanoni? Hufuatilii ?Mbona watu hata hawawapi attention.
Wako busy na mikutano ya no reforms no election.
Ndio maana police wanaanza sideshows za kukamata watu airport kufanya distraction.
Umeshanipa Jina la Kamanda Dr. wa Manesi? Yawezekana nikawa Boss wako au Baba yako mdogo.Kamanda wa chadema chakavu, shikamoo sana.
1. Inaonekana unawajua sana wazungu ee?!!! Namaanisha Hadi wale wa ndani ndani huko ukiacha hawa kina trump na viongozi wengine kadhaa ambao habari zao zinaandikika Hadi kutufikia Huku.
2. Unaifahamu kuwa lissu alikuwa NCCR Mageuzi?!!!
Usiku mwema kamanda wa ukweli.
Ndio sifuatilii.Hujamsikia lema,Heche na Mnyika wakiwaongelea mkutanoni? Hufuatilii ?