Wafanyabiashara Soko la Mawenzi Morogoro wamegoma kufungua biashara wakishinikiza Serikali ipunguze Kodi ya pango la Vizimba.Wafanyabishara hao wamesema licha ya kutozwa Kodi kubwa lakini bado Soko hilo lina
Miundombinu mibaya jambo ambalo Wateja wanakimbia kufika hapo.Mkuu wa Wilaya ya Morogoro Mussa Kilakala amefika katika Soko hilo na kuahidi kuyafanyia kazi malalamiko hayo ambapo Wafanyabiashara kwa kauli moja wakakakubaliana kuendelea na shughuli zao.
Pia soma: KERO - Soko la Mawenzi mjini Morogoro ni chafu na ni hatari kwa afya ya binadamu hasa nyakati za mvua kutokana na uchafu unaotupwa holela