Morogoro: Waziri wa Maji Jumaa Aweso awaumbua mamlaka ya maji Morogoro, tangu mwezi February hawajaweka dawa ya kutibu maji katika matenki yao

Nishapata majibu kwanini Moro Typhoid inaongoza vibaya mno
Hatari, waluguru wanafyatua kimba milimani kwenye vyanzo vya maji, mamlaka ya maji inasafirisha kuja majumbami kwa njia ya mabomba ya maji bila hata kuyatibu, ni kawaida kukutana na maji kama tope au hata yana majani 😂
 
Yaani kabisa mtu anaamini maji ya mamlaka za maji hapa Tanzania unaweza ukayanywa bila kuyachemsha..!! Really..!!??
 
Yaani kabisa mtu anaamini maji ya mamlaka za maji hapa Tanzania unaweza ukayanywa bila kuyachemsha..!! Really..!!??
Sometimes kwenye kuoga au kusafisha uso, yatapita tu hata kidogo mdomoni, au chai kama haijachemshwa vizuri, kachumbari, maji ya kunawa, au kama kikombe cha maji ya kunywa hakijakaushwa vizuri, sio lazima unywe
 
Sometimes kwente kuoga au kusafisha uso, yatapita tu, au chai kama haijachemshwa vizuri, kachumbari, maji ya kunawa, au kama kikombe cha maji ya kunywa hakijakaushwa vizuri, sio lazima unywe
Mkubwa, LEO UMEMWAGA PWENTI. Asante kwa hili.
 
Halafu kwa mtindo huu hata ufukuze mawaziri kila siku ni kuwaonea tu, huku makatibu wakuu wakibaki!! Wafrika tuna laana ya asili!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…