Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Zaidi ya nyumba 432 zimebomoka na nyingine kuezuliwa paa baada ya Mvua iliyoambatana na upepo kunyesha katika kata ya Iragua wilaya ya ULANGA Mkoani Morogoro na kuathiri vijiji vinne vilivyopo kwenye kata hiyo
Soma: Mvua zilizoambatana na upepo zaezua nyumba zaidi ya 100 Ulanga mkoani Morogoro
Wakizungumza leo wananchi wa Kata hiyo, wameiomba serikali kuingilia kati kutatua changamoto hiyo kwani hadi sasa hawana makazi ya kudumu kutokana na adha hiyo.