Morogoro: Zaidi ya nyumba 432 zabomoka na kuezuliwa paa baada ya Mvua na upepo mkali Ulanga

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Zaidi ya nyumba 432 zimebomoka na nyingine kuezuliwa paa baada ya Mvua iliyoambatana na upepo kunyesha katika kata ya Iragua wilaya ya ULANGA Mkoani Morogoro na kuathiri vijiji vinne vilivyopo kwenye kata hiyo

Soma: Mvua zilizoambatana na upepo zaezua nyumba zaidi ya 100 Ulanga mkoani Morogoro

Wakizungumza leo wananchi wa Kata hiyo, wameiomba serikali kuingilia kati kutatua changamoto hiyo kwani hadi sasa hawana makazi ya kudumu kutokana na adha hiyo.

Your browser is not able to display this video.
 
HYO MVUA HUKU HATUONI MBONA. TUNAPANDA KWENYE VUMBI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…