Moroko wasichukuliwe poa hata kidogo lolote linaweza kutokea

The Supreme Conqueror

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2017
Posts
458
Reaction score
1,280
Leo moroko wameendeleza kile walichokianzisha tangu hatua za makundi ni timu pekee mpaka sasa iliyoruhusu nyavu zake kuguswa mara 1 tena kwa goli la kujifunga wenyewe dhidi ya Canada katika michuano hii ya kombe la dunia huko Qatar.
Hakika ni jambo la kujivunia wakiwa na kocha mzawa wamecheza Crotia 0-0, Morocco 2 Belgium 0,Morocco2 canada 1 Morocco 0 Spain 0 , Morocco 1 Portugal 0 katika mechi 5 kakutana miamba migumu ya Ulaya 4 na hakuruhusu wavu wake kuguswa maana yake wana nidhamu kubwa katika ukabaji hivyo tutegemee kuona maajabu mengine kutoka kwao katika hatua inayofuata kizuri na cha kujivunia wachezaji wao wengi ni vijana na wana ari kubwa na wana uzoefu mkubwa kwani wengi wao wanacheza ligi kubwa za ulaya.Hakika wametutoa kimaso maso waafrika wakikosa fainali basi nina uhakika mshindi 3 lazma wapate.
 

Attachments

  • 1670701222448.jpg
    70 KB · Views: 7
  • Screenshot_20221210-211438.png
    212.5 KB · Views: 6
Giroud aliingoza Ufaransa kivipi wakati hakua na goli hata moja wala shot on target hata moja toka mwanzo hadi mwisho wa michuano.
Wachana na copy paste zisizo na analysis
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…