Morrison adaiwa kurejea Yanga

Uyo Morrison alipaswa kuwa jela, Yanga hatutaki uyo muhuni abaki uko uko makolo fc kwa wahuni wenzake
 
Nuksi huyoo...hakuna mtu anamuhitaji.
 
Ee mwenyezi Mungu fanya wepesi uyo Morison aende uko misukule fc na hbr hizi ziwe za kweli zisiwe tetesi akakutane na yule mmasai jike a.k.a manjano
 
mnae huyo wakil msomi
 
Huyu Morison ni bonge la mchezaji ila kichwani kwake sijui kuna mdudu gani. Siku akiamua kufanya kazi anafanya kazi kweli kweli na kila mtu anasahau nidhamu yake mbovu na vituko vyake vyote vya nje ya uwanja. Ila siku akipuyanga ana puyanga kweli na anaigharimu timu kiasi cha kupoteza mchezo. Hili la kurudi Yanga likitokea sitashangaa kwani mpira wa bongo una vituko sana, kwani nani alijua kuwa Manara atapokelewa Yanga kama mfalme licha ya kutukana mashabiki wote wa Yanga kuacha tu JK na baba yake.
 
Kuna wakati naweza kusema Simba kumuacha Bm3 kwa sababu ya nidhamu ni kukosea. Ni kutafuta tu namna ya bora ya kuishi nae, Japo ukweli ni kwamba mahali popote ktk eneo la kazi NIDHAMU ni kila kitu. Bila nidhamu kinachobaki ni vurugu na uwendawazimu mtupu.

Pamoja na hali yake Simba tafuteni namna bora ya kuishi nae, Morrison asiachwe.
 
Acheni Morrison atafute riziki zake. Kama kuna mahali anahitajika, basi asibaniwe na mtu yeyote, awe wa anakotoka au anakoenda. Huwezi kujua, labda atabadilika. Kama Manara mnazi mkubwa wa Simba amebadilika na kuwa mfanyakazi mtiifu wa Yanga, kwa nini Morrison asiweze kubalilika kimahaba na kinidhamu?
 
Na yule nguruwe pori alivyokuww hana siri kila kitu anapost tu kila kitu anapost kama mtoto mdogo vile.
 
Kwa kuwa yalifanyika kwa Manara aliyekuwa anatudhihaki na kutukebehi kwa kila aina sioni ajabu huyu naye kurudi.

Niuambie tu uongozi kama ni kweli nitasononeka sana aisee. 🙁🙁
 
Naungana nawe Mkuu.
 
Kama ni kweli basi soka let linashindwa kupiga hatua kutokana na mambo kama haya
 
Kama sisi tuna ona balaa lake na tupo mbali vipi viongozi wanae ishi nae kila siku huko kambini na mazoezini
 
Kwa kuwa yalifanyika kwa Manara aliyekuwa anatudhihaki na kutukebehi kwa kila aina sioni ajabu huyu naye kurudi.

Niuambie tu uongozi kama ni kweli nitasononeka sana aisee. [emoji853][emoji853]
Hii tetesi sio mpya na haujawahi kua kweli, Yanga sasa hivi ina viongozi serious usitegemee kumuona huyo kichaa Jangwani chukua hii comment yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…